Nchi ya "kishenzi": kwa vipi?

Nchi ya "kishenzi": kwa vipi?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,958
Reaction score
104,310
1. Wale ambao hawakusoma na hivyo hawana ajira serikalini wanafurahi wafanyakazi wanapoonewa na serikali.. KUWA TUMEKUWAA SAWA WASITULINGIE
2. Wasio na ajira serikalini wanafurahi wafanyakazi kufukuzwa kazi be it kwa vyeti or whatever..... TUMEKUWA SAWA HAWATATULINGIA
3. Walio madarakani wanafurahi kuwatesa wasiokuwa madarakani...KULINDA AJIRA ZAO NA KUMFURAHISHA FULANI
4. Vyombo vya usalama KARAMA WALIYOJALIWA NA MUNGU ni UONEVU KWA RAIA
5. Wanaolinda ajira zao hawaoni kuwa mfalme yuko uchi hana nguo. ...... wanasifia kavaa nguo nzuri sana......KUMBE YUKO UCHI
6. Maprofesa wa nchi, "think tanks" wana kauli mbili... KABLA YA KUPEWA MADARAKA NA BAADA YA KUPEWA MADARAKA kauli ya kitu kile kile inatofautiana kwa asilimia 100 before and after madaraka
7. Waliofukuzwa uwaziri....................................................................
 
Kosa lenu ni kuwafanya wananchi wa kawaida kuwaona mnaringa wakati wao ndio mabosi wenu

Watu msio na kiasi_pateni mnachostahili
 
Washenzi zaidi ni wale ambao tuliowapa dhamana ya kutuongoza halafu kwa sasa wamekuwa watesi wetu
 
8
1. Wale ambao hawakusoma na hivyo hawana ajira serikalini wanafurahi wafanyakazi wanapoonewa na serikali.. KUWA TUMEKUWAA SAWA WASITULINGIE
2. Wasio na ajira serikalini wanafurahi wafanyakazi kufukuzwa kazi be it kwa vyeti or whatever..... TUMEKUWA SAWA HAWATATULINGIA
3. Walio madarakani wanafurahi kuwatesa wasiokuwa madarakani...KULINDA AJIRA ZAO NA KUMFURAHISHA FULANI
4. Vyombo vya usalama KARAMA WALIYOJALIWA NA MUNGU ni UONEVU KWA RAIA
5. Wanaolinda ajira zao hawaoni kuwa mfalme yuko uchi hana nguo. ...... wanasifia kavaa nguo nzuri sana......KUMBE YUKO UCHI
6. Maprofesa wa nchi, "think tanks" wana kauli mbili... KABLA YA KUPEWA MADARAKA NA BAADA YA KUPEWA MADARAKA kauli ya kitu kile kile inatofautiana kwa asilimia 100 before and after madaraka
7. Waliofukuzwa uwaziri....................................................................
8. Wale waliogombea kuongoza nchi wakashindwa wanafurahia wanaposikia vitu fulani haviendi vizuri kwa serikali na nchi.
 
Wafanyakazi wa ofisi za umma huwaga mna maringo ya kiboya.

Kwa mfano unaweza ambiwa kesho saa mbili uwe shule mwanao/mdogo ako anamatatizo ya nidhamu. We ukafika saa mbili, utasubiri kikao kitaendeshwa saa 7.

Mkishakaa ofisini mnaonaga wanaofata huduma hawanaga shughuli za kufanya. Ndo mana wanashangilia mkifukuzwa.

Adui mwombee njaa.
 
Hiyo ni Dar.

Mikoa minne niliyokaa kidogo unafika kwa mfanyakazi wa umma baada ya salamu ya "Za saa hizi/ shikamoo" unashangaa unaulizwa "Habari za kazi? Pole kwa kazi mwanangu/ ndugu yangu"

Mara nyingi kutokana na mazoea ya ofisi za huku Dar, ya kukuta mtu kanuna anaongea kama mna ugomvi na unatakiwa uongee haraka nilikua najikuta muda naanza kuelezea shida yangu baada ya salamu wao ndo wanauliza "Habari za kazi?"

Na wanaheshimu shida ya mtu na muda.
 
Back
Top Bottom