Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeanzisha uzi huu ili kupeana ratiba na taarifa juu na semina mbalimbali anazozifanya mwalim Mwakasege hapa nchini na hata nje ya nchi. Karibu
5 Reactions
51 Replies
16K Views
Vijiji vya wilaya hizo tajwa hali ya nyumba ni nzr ,maji,hali ya hewa ni uhakika.lami wanajitahidi mfano kwa bukoba vijijini lami ya inaelekea vijiji vya izimbya.kashozi,bugabo.kwa muleba lami ipo...
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Watu 13 wamefanyiwa upasuaji wa macho kutokana na matatizo mbalimbali yakiwemo jicho la Mtoto na vikope. Saraweki Mberwa mmoja wa Madaktari katika Hospitali ya Anglikan Diosis ya Kiteto ADK...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu husasani wa mkoa wa Mwanza instagram imepatwa na nini?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakati wa Mbowe kustaafu bado, tunawaonya ccm kuacha kutuchagulia m/kiti ,wao wajikite kurekebisha Katiba yao ili kuruhusu wanachama kugombea nafasi ya m/kiti wa chama chao badala ya m/kiti...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za leo wana Jukwaa wenzangu naomba kwa yyote mwenyewe mawasiliano na mzee wetu J mbwambo muandishi nguli hapa nchini pamoja na kwamba mwaka juzi alitangaza kustafuu rasmi lkn kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
A Filipina schoolgirl has lived all her life with a parasitic twin growing out of her chest and abdomen, but will soon undergo surgery to have it removed. Veronica Cominguez, 14, was supposed to...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu. Napenda kufahamu hawa Bumaco wako active kiasi gani kwenye kulipa claims za Bima za magari. Na za moto? Kuna kipindi nilikuwa na broker mmoja wa bima aliyewahi kufadhili timu ya...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari ndugu na jamaa wa JF, Naomba Masada jinsi ya kutoa mzigo airport (Mzigo wa biashara) hapa Tanzania. Nahitaji Msaada hasahasa kwenye issue Kama vile : 1. Mapato yake yakoje? Mfano. TRA...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara inakabiliwa na changamoto za kielimu, ambapo kuna uhaba wa walimu, vyumba vya madarasa , nyumba za walimu vitabu vya kiada na ziada..
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula, amesema serikali itachukua baadhi ya mashamba yanayomilikiwa na Kampuni ya Mohammed Enterprises na kuwapa wananchi kwa kuwa...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Great day my friend, you look great on your uploaded pictures!!! First of all thank you for accepting me as one of your friend on facebook. By the way I'm GEMMA BALIN MATIAS from the Philippines...
2 Reactions
38 Replies
13K Views
Nachukua nafasi hii kumpongeza Rais mstaafu mh Jakaya Kikwete mungu akubariki na akupe maisha marefu kwa sababu usingekuwa wewe hakika nisingepata elimu ya chuo kikuu Wakati nakaribia kufanya...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Maswali na Majibu kuhusu Ukaguzi wa Leseni ya Udereva 1. Je ni Madereva baadhi au wote wanahitajika kukaguliwa Leseni zao? _Zoezi la kuhakikiwa Leseni ni kwa Madereva WOTE wanaomiliki Leseni za...
0 Reactions
14 Replies
12K Views
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameliagiza Jeshi la Polisi kuendesha msako wa nyumba kwa nyumba, mashamba na madanguro kunusuru waathirika wa biashara haramu ya usafirishaji...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, amesema umeme wa mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge ndiyo utatumika kuendeshea treni mpya ya umeme. Dk. Kalemani ameyasema hayo leo Mjini Morogoro, kwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello wanajamvi, Jamani leo nimepita maeneo fulahani nimejisikia kutoa machozi kabisa kwa hichi nilichokiona Sasa wadau Kuna Bibi alikuwa na wajukuu Kama watatu hivi anawalea yeye baada ya...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa dini flani ya kikristo inatambua uwepo wa watakatifu na katika sala hutajwa ili watuombee.Sasa nimekaa nikajiuliza kwa nn majina ya makabira yetu huku huwa siyasikii?? Au ndo dhambi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jumla ya vijiji 107 wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma vipo katika mpango wa kunufaika na hati za kimila za umiliki wa rasilimali ardhi chini ya Mpango wa kurasimisha rasilimali na biashara za...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Semitrela kama ndivyo liitwavyo nimeliona maeneo ya Uswahilini hapa Arusha likinyonywa mafuta na Dereva na Tandiboi wake wakiyatia kwenye dumu la lita 20 hv na kijana mmoja kuondoka nalo...
17 Reactions
159 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…