Mkakati wa kuitoa CCM madarakani

monde arabe

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
8,486
13,017
Habar za leo ndugu zangu wapendwa ktk Taifa,

Sisi sote (Watanzania) adui yetu (our common enemy) ni mmoja ambaye ni Chama cha mapinduzi ( ccm) siandiki thread hii kwa kuwa ninachuki binafsi na ccm na wala siandiki bandiko hili kwa kuwa labda nimekosa uteuzi (kwa maana ndyo fikra za wengi kwa muda huu)
Pia,mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha upinzani bali naandika jambo hili ili iwe ni kuandaa njia ya kuelekea kwenye nuru au matumaini ya kiuchumi,kisiasa,kielimu na hata kifikra pia
Kwa wale msiokifaham chama cha mapinduzi vzr naomba kuwafahamisha kuwa hiki ni chama chenye intelligencia kubwa sana hasa kwenye kutenda maovu au mabaya mfano chama kikishindwa ktk uchaguzi huwa wanamtangaza mgombea wao wanayemtaka wao na wakishindwa kufanya hivyo basi huwa nunua viongozi walioshinda kwenye uchaguzi husika kutoka upinzani

Zifuatazo ni mbinu ambazo sote tunaweza kuzitumia kukitoa chama cha mapinduzi madarakani;
1.Kuonyesha kuwa tumeasi kutoka vyama vya siasa ambavyo ni wapinzani wa ccm,hapa mgombea anatangaza kuwa ameamua kujivua uanachama kutoka chama fulani na kujiunga na ccm na anatengeneza mazingira ya kuaminiwa na mwenyekiti wa ccm Taifa kisha atapewa cheo baada ya hapo anaanza kukusanya taarifa nyeti na kuzipenyeza kwenye chama alichohama (na hii unapaswa kuwa undercover mission,wanapaswa kufaham watu wawili au mmoja kutoka kwenye chama alichohama)

2.Kipindi cha uchaguzi hasa kwa maeneo ya vijijini najua watu wengi hawajui kusoma na kuandika so,huwa wanawaomba wasimamizi kuwajazia au kuwawekea tick (√) kwa mgombea wanaye/anayemtaka so,kwa kuwa hawajui kusoma na wao ndyo mtaji wa ccm basi unaweka tick kwa mgombea wa upinzani ambaye udhani kuwa ndye atakayeshinda

3.Kuanza kuwaelimisha watu tangu mapema kuhusiana na madhara ya kutawalaiwa na ccm ikiwa ni pamoja na madhambi tunayofanyiwa na ccm ili kpnd cha uchaguzi watu wawe aware na issues za uchaguzi

4.Kujipendekeza kwa viongozi wa ccm kuanzia ngazi za chini mpaka juu ili waweze kutuamini na hatimaye waweze kutupa nafasi nyeti ikiwa ni pamoja na kusimamia uchaguzi,then hukohuko tunawachinjia baharini

5.Siku ya uchaguzi kuna karatasi za kura huwa zinaletwa na kuwekwa mahali then maafisa wa uchaguzi hutoka mmoja mmoja kutoka kwenye chumba cha kupigia kura kwajili ya kwenda kujaza katarasi hizo na kuziweka kwenye kofia then wanaenda kuzitumbukiza kwenye masanduku ya kura...ukiitwa kwaajili ya kujaza karatasi hizo basi fanya kweli ili CCM wajue kuwa hutukwenda shule bure,mbinu nyingine naomba na ninyi muongezeee!
 
Futa kauli kwanza halafu ndio tuendelee, CCM ni adui wa wewe na nani? Acha utani kijana unapumua hapo na kutembea kwa madaha na baiskeli yako mtaani sababu ya CCM.

Unalala kwa amani na mkeo na wanao sababu ya CCM yaani fraha yako yote ni CCM acha kuiita eti ni adui yako
 
Adui yako peke yako, hakuna rafiki namthamini kama CCM nadunda nchi hii sababu ya huyu jamaa anaitwa chama cha mapinduzi. Amani ya moyo na mwili niliyonayo yote sababu yake.

Utapata tabu sana kujifanya huipendi CCM inabidi utulize mshono tu
 
Ukiona abiria amepanda gari bovu ujue ndani kuna mzigo wake!
 
Kwani ni nani mkuu anayeilisha hii nchi Chadema au TLP
wewe ni mjinga na siwez kubishan na mjingA hafu sikia sina chama mm c o lumumba ama ufipa ila je miaka 20 ijayo tutakua wapi ... Vizaz vyetu vtatuonaje ... Tumepambana na wakolon sasa wametutawala kifikra .... Ukomboz wa kifikra unatakiwa uanze sasa kwa jamii nzima sio propanganda za kishafisti na ujuaji usio na msingi ... Jitambue
 
Futa kauli kwanza halafu ndio tuendelee, CCM ni adui wa wewe na nani? Acha utani kijana unapumua hapo na kutembea kwa madaha na baiskeli yako mtaani sababu ya CCM.

Unalala kwa amani na mkeo na wanao sababu ya CCM yaani fraha yako yote ni CCM acha kuiita eti ni adui yako
Tunayosafari ndefu,,,ila tutafika tu
 
wewe ni mjinga na siwez kubishan na mjingA hafu sikia sina chama mm c o lumumba ama ufipa ila je miaka 20 ijayo tutakua wapi ... Vizaz vyetu vtatuonaje ... Tumepambana na wakolon sasa wametutawala kifikra .... Ukomboz wa kifikra unatakiwa uanze sasa kwa jamii nzima sio propanganda za kishafisti na ujuaji usio na msingi ... Jitambue
Mkuu intellectually upo safii ,,,usibishane na mbumbu
 
Kama ni kwa kura ccm itatoka Madarakani pale awareness itakapofikia 80% na ignorance itakapofikia 30% wanalijua hilo ndo maana wameuwa elimu wanajua shule za kata zilichowafanyia kuongeza awareness
 
Mala nyingi nikishaona longolongo mala oho mm sio mwanacha oho mm sio sio sio napiga chini kwani ukijitambulisha kama kada kuna ubaya gani?
 
wewe ni mjinga na siwez kubishan na mjingA hafu sikia sina chama mm c o lumumba ama ufipa ila je miaka 20 ijayo tutakua wapi ... Vizaz vyetu vtatuonaje ... Tumepambana na wakolon sasa wametutawala kifikra .... Ukomboz wa kifikra unatakiwa uanze sasa kwa jamii nzima sio propanganda za kishafisti na ujuaji usio na msingi ... Jitambue
Nashukuru kwa kunitukana lakini ngoja nikuambie kitu kimoja, sijui unaponiambia nijitambue unamaanisha nini ila tu kwa taarifa yako mimi najitambua sana na hakuna anaenitawala ki fikra.

Akili yangu ni kubwa sana ila nakuona wewe unaongeaongea ushabiki na hukielewi unachokiongea. Au kujitambua kwako ni kuwa chadema au kwako kujitambua ni kuichukia tu CCM kama fikra zako ndivyo zilivyo brother unahitaji msaada.

Yaani Chadema imeshindwa kujiendesha yenyewe tu kila uchao wanachama wake tena walio na vyeo wanahama wewe unakuja kusema hicho nacho ni chama.

More than 20 years kipo kwenye game ya siasa ila hakina hata ofisi hupati hata kuuloza hivi Ruzuku mnayoipata na michango ya wabunge wenu wanayokatwa inaenda wapi. Huoni kweli hata aibu kweli ukifika uchaguzi mnaanza kutembeza mabakuri ya kuchangishana muingie ktk game.

Jipangeni miaka mia 200 kwanza ndio muanze Kuota kuiondoa CCM
 
Z U Z U
 
Back
Top Bottom