Masomo ya PSPTB

Masomo ya PSPTB

IFRS

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
2,920
Reaction score
5,279
Habari waungwana, kuna rafiki yangu mmoja(sio member Wa jf) alikuwa anauliza kuhusu centre nzuri ya kufundisha masomo ya PSPTB ngazi ya professional 1 .
Yeye ni Mwanafunzi aliyemaliza degree na alikuwa anataka kufanya paper Nov 2018
 
Back
Top Bottom