Mtayarishaji
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 291
- 198
Watu wengi ulimwenguni hupenda kuzungumza kuhusu usawa, uhuru, na kujikomboa.
Katika sehemu nyingi za ulimwengu watu wanatamani kuwa huru kutokana na ukandamizaji, ubaguzi, na umaskini.
Wengine hudai haki ya kuwa na uhuru wa kusema, wa kuchagua, na wa kujiamulia watakavyo.
Inaonekana watu kila mahali wanatamani sana kujiamulia jinsi watakavyoishi na mambo wanayotaka kufanya.