Habari....
Husika na kichwa cha habari hapo juu binafsi ningependa kujua huyu bilionea anaetuwakilisha kimataifa/ulimwenguni (duniani) ni nani hasa kwa majina......
Maana huyu JF kuna tabia ya...
Toka jana katika Mitandao ya Kijamii mjadala mkubwa ni kuhusu *Uhamiaji* jamii imeweza kufungua mjadala wa wazi katika Mitandao mbalimbali juu ya Miendendo ya Kazi ya Uhamiaji, Huko Twiter nimeona...
Ndugu Fred Isack baada ya kuja kwenye ofisi yetu kunitapeli mida ya SAA moja jioni 2014 huku ukitoka machozi na kutiririka makamasi ukiomba msaada wa pesa ya nauli ya kwenda Dar es salaam kwa...
Wazo la kuwaajiri vijana wa hitimu wa JKT ni zuri lakini kwa maoni yangu lingekuwa kama ifuatavyo:
1. Waunde vikundi vya usafi katika kila miji maana wapo kila miji watoze huduma za usafi na...
Hofu imetanda kwa Wakulima 244 wa zao la Pamba katika Halmashauri ya Mji wa Geita na wengine kulazimika kuyakimbia makazi yao wakiogopa kutiwa mikononi mwa Jeshi la Polisi kutokana na kudaiwa...
Mwalimu Nyerere Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania miaka ya mwanzoni kabisa baada ya kupata Uhuru mwaka 1961 December 9 alitangaza maadui wa tatu wa Taifa letu kuwa ni...
Nawasalim wanaJF!
Naomba kuelimishwa kuhusu hoja kwamba kuna haja gani au umuhimu gani wa kuendelea na utaratibu wa 'kula kiapo' kama dunia nzima inajua kwamba wahusika wote wa zoezi hilo...
Salama Jamvini, Nianze kueleza Juu ya tukio la kulipuka kwa Bomu Ktk High tables alipokuwepo Rais wa Zimbabwe Emmerson mnanangwa Mimi tukio lile naita ni Uzembe wa Electronic Warfare Team...
Leo naomba kuwasemea wadada Wa kazi, maana hakuna anaeshtuka juu ya hawa watu( ma house girl)
Haki ya house girl inapokwa kila kukicha, kwanza kabisa mishahara ni midogo, pili malipo ya mishahara...
Wakuu habarini.
Naomba niende moja kwa moja katika mada.
Kuna jamaa yangu miaka iliyopita alikopa mkopo katika taasisi ya BancABC sasa anataka kulipa deni lake lililobakia ( salio bakia ) au...
Habarini wadau, natumai mu wazima wa afya na mnaendelea vizuri na majukumu ya kutunza familia.
Kuna jambo ambalo nchi nyingi za kiafrika zimekupa zinajitanabaisha kulipinga kwa nguvu zote kwa...
Mkuu wa wilaya Ilala Sophia Mjema ameagiza kufungwa kwa vibanda vya maonyesho ya sinema almaarufu kama (VIBANDA UMIZA ) kwa kile alichokieleza huchangia kwa kiasi kikubwa uvunjifu wa maadili kwa...
Nalichukia hili linyoka, nimeona filamu limembana chui mpaka ulimi wote nje, limemeza mtu huko Indonesia hivyo hivyo limembana mbavu na kumbugia, nalichukia hili dudu, arggghhh!
tunawashukuru kwa taarifa nzuri sana ya habari wakati wa saa mbili usiku.
shida yangu kubwa inapofika kipindi cha michezo kuna yule bondia mzungu kila siku anampiga mwafrika hii kwangu huwa...
Habari ndg wana JF, ninakuja kwenu kuomba mnijuze taratibu za ununuzi wa chombo cha moto unafanyikaje, ni vitu gani vya kuzingatia ili kuepuka matatizo yasiyo ya lazima ya 'Sikujua'natanguliza...
Habarini wanajf
Elimu yangu imenipa tafsiri nyngne katk maisha yangu ambayo imenipa uwazi Wa kutambua jambo ambalo skulitegemea maishani mwangu
Nmesoma toka shule ya awali had high schools bila...
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru *Mh. Jerry Muro* leo amemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha *Mh. Mrisho Gambo* katika kufunga mkutano wa wadau wa sekta ya Utalii.
Akifunga mkutano huo *Mh.Muro* amesema...