Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu wa Mpanda kumbe wana uhusiano wa karibu sana na watu wa Tabora wameniambia hata wanasikilizana, ...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Naomba kupata ufafanuzia kuhusu jina la huyu waziri mkuu wetu mchapa kazi mzalendo ni lipi kati ya hayo? Nime sikia kwenye habari wana muita Khasim Majaliwa Majaliwa na mimi nilikua najua ni...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Naomba niwe wa Kwanza kuanza kukupa ' Pongezi ' zangu za dhati kabisa kwani najua very soon unaenda kutoka kuwa ' Mswahili ' wa Jangwani na kwenda kuwa ' Mtawala ' mstaarabu. Naamini sasa ile...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu, Binafsi ni survivor wa mambo mengi, nimekuwa kibingwa na kwa kujichunga mwenyewe, kiasi kwamba wengi sana wamenikosea maishani; kuniibia, kunidhurumu, etc na wengi nawafahamu kabisa na...
2 Reactions
53 Replies
7K Views
Habar wakuu! mimi ni muumini wa dhehebu la katoliki, kumekuwa na simtofaham baina ya sisi wakatoliki kuhusu nafas ya pengo katika baraza la maaskofu tanzania! jana nilikuwa nabishana na jamaa...
1 Reactions
156 Replies
22K Views
kila siku iendayo Kwa mungu mwenzenu naiota ota mahakama ya kimataifa pale the Hague pia namuota ota mwanamama fatou bensouda hata hivyo nimegundua hii ndoto ni kama nyingine tu kwahiyo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakati nipo chuo nasoma shahada ya utawala niliwai kumwomba lecturer wa somo ruhusa ili niudhurie ugeni toka Dsm,mama yule alinijibu "Unapoteza muda CCm hawawezi kukupa chochote hivyo vyeo...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu (DUCE), amejibu maswali ya mtihani kwa kutumia lugha ya Kiswahili licha ya mtihani husika kuelekeza majibu ya Kiingereza, jambo ambalo limewaweka...
1 Reactions
25 Replies
10K Views
Yametoka majina juzi ya ajira mpya za afya. Vijana wameripoti , sasa wemerudishwa eti mpaka hela zitoke. Ni kweli au ndiyo gheresha? Tunaomba mwenye kujua atupe ufafanuzi
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Hii picha Masoud Kipanya aliichora mwaka 2015, miaka mitatu baadaye Wachina wametoa aina hii mpya ya Bajaji, Je wao ndiyo wameiba wazo la Masoud, na kama wameiba wazo hili Masoud haoni umuhimu wa...
3 Reactions
17 Replies
7K Views
Shirika la Umeme Nchini(Tanesco) limesitisha huduma ya umeme kwa baadhi ya taasisi za Serikali zilizopo mkoani Kilimanjaro baada ya malimbikizo ya deni kufika kiasi cha shilingi bilioni tatu...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Pembe nyingi tu zipatazo 214 zimekamatwa na Polisi wa Mkoa wa kinondoni maeneo ya kimara usiku wa kuamkia leo.hongera kwao askari wa doria pamoja na kamanda wa polisi mkoa wa kinondoni.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna huu msemo eti wanajenga fly over.Hivi kweli mtu uloenda shule unaweza sema hivyo,?Halafu huu usemi ni Bongo tu nimeusikia,ngoja barabara zenye hip fly over ziishe nione kama kuna gari itaruka.
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa mwendelezo huu ambao kusafiri usiku kumekuwa heri mno kuwapisha wale jamaa na kero zao, tutegemee matukio mengi tu ya Aina hii. Eeh mola wetu ni Dua zetu kwako utunusuru na haya ambayo common...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Hivi ndivyo Fatma Karume alivyoandika katika mtandao wa twitter: Mwisho,for those Tznians travelling abroad,if they ask you why you are travelling say "Nina kwenda kwa Kinyozi".Maana kwenda kwa...
10 Reactions
39 Replies
9K Views
..
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimeshindwa kumuelewa huyu mzungu kamaanisha nn hii message
0 Reactions
7 Replies
2K Views
KATIKA nchi nyingi anwani hutia ndani nchi, jiji, na barabara. Acheni basi tuseme “nchi” ya dunia ni kikundi cha nyota cha Kilimia, “jiji” lake ni mfumo wa jua, yaani, jua pamoja na sayari zake...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
nyingine.
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…