Kukimbilia mwenge

Kuna Jamaa mmoja alikuwa akisikia unakuja au utapita anahama atarudi ukipita anasema eti unalaza akili kwa imani yake."ili likitu gwe!! ndo latufanya kuwa wajinga eehh!! mugaboo ngastukaa!!!
 
Wakuu uku niliko muda huu bado kuna raia jinsia zote wanajazana kukimbilia kwenda kushangaa mwenge na usawa ulivyo mgumu hii ina maana gani ?
Kwa mawazo yako mkuu, ni kuwa ni kweli wanaenda kushangaa chuma chakavu cha shaba iliyosuguliwa?

Labda nikujibu kwa kukuuliza swali, je kwenye kusanyiko lolote watu huenda kwa madhumuni ya kuangalia kilichosababisha kusanyiko hilo, mf: kanisani, harusini nk nk, ama wengine huenda na mambo yao?

Kusanyiko lolote huwa ni chanzo cha watu kufahamiana, kuangaliana mishepu na kuchumbiana nk nk.
Ndiyo maana likitangazwa jambo lolote lihusulo mkusanyiko, hata liwe la kipuuzi vipi, lazima lijaze watu 'nyomi'.
Madhumuni inakuwa mtu kuona watu na kufurahisha nafsi, si vinginevyo.
 
Juzi umepita hapa kijiweni kwetu,viongozi wa kijiji wamewapiga michango wafanyabiashara hususani wauza maduka elfu tano
Nikabaki nawacheka
 
Huko kwenye mwenge tunaenda kusaka mademu na michepuko ya burebure si kwamba tunashangaa kile kibatali cha taifa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom