Ofisi za Chama kikuu cha Upinzania Tanzania chadema , ukilinganisha na vyama vingine vya Upinzania Afrika!
vs
MDC -Zim
Upinzani Kenya
Ofisi Upinzani Malawi!
Wimbi la wizi wa TV FLAT SCREEN TU LMV umeshamiri sana. Kuanzia Tabata, Kinyerezi, mitaa yote ya Mbezi Louis hadi Salasala na Bunju. Wajuaji hawa wanakata grill za dirisha kuingia na kuiba. Pamoja...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima amepata kibali cha ajira mbadala kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Hivyo anakaribisha...
Ipo picha ina tembe huko instagram.
Inamuonesha bashite akiwa na mkewe nnyuma kuna bendera ya taifa.
Sijui sana mambo ya protocal. kwa wajuzi wa mambo haya hili limekaaje? je ni sahii kwa mteule...
BENKI ya Wananchi Tandahimba (Tacoba) mkoani Mtwara, imesema inatarajia kuwakopesha wavuvi ili kuongeza mtaji na kuboresha shughuli zao na hatimaye kuchangia pato la taifa.
Ofisa Maendeleo ya...
Simu kwa asilimia kubwa ni kitu cha kwanza kwa wengi wetu kukitazama asubuhi na kitu cha mwisho kukiangalia usiku kabla ya kulala. Simu zetu haziko mbali nasi na tunaziangalia kila baada ya dakika...
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto, inatarajia kufanya udahili wa wanafunzi kwa asilimia 100 kutoka wanafunzi Mia moja na Hamsini (150) hadi Mia tatu...
HII ni hali ya mwanamke kwa hiari yake mwenyewe kuharibu mimba iliyoingia ndani ya kizazi chake.
Kutokana kuongezeka kwa idadi ya mahusiano duniani na kutotumia njia za uzazi wa mpango kwa watu...
Hivi sasa ni dhahiri kuwa baada ya anguko la Mange Kimambe ambaye hana hoja tena, Tanzania imepata majaribu mengine katika kuelekea safari yake ya mabadiliko; majaribu ambayo hata hivyo ni lazima...
Watoto wawili wa kike, mmoja wa mika miwili na mwingine wa miezi 6 wamefariki dunia baada ya nyumba walimokuwa wamelala kuungua moto. Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo Agosti 7 katika...
MKOA wa Simiyu unatarajia kupata uwanja wa ndege utakaojengwa mpakani na Hifadhi ya Taifa Serengeti.
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), Dk Richard Mayongela amesema sasa ni...
ELIMU TUNAYOITOA TANZANIA NI ELIMU YA KUKARIRISHANA NA INAUA VIPAJI VYA WATANZANIA.
Kuna mambo mawili nitayazungumza leo kuhusu Elimu yetu. Moja ni lugha tunayoitumia kifufundishia mashuleni na...
Wakuu,
Sisi wote ni vijana,hivyo ni vizuri kushirikishana.
Miye ningependa kwenda nchini Kuwaiti kuwa minajili ya kibiashara,na pia pia kwa makazi ya muda mfupi.
Ningependa kujuzwa na wale...
Kuelimika maana yake ni kuwa na maarifa ama kujua vitu vingi vyenye kukusaidia kuyajua mazingira na kukabiliana na changamoto zake kuliko awali
Mtanzania anayejua Kiingereza inaamisha anajua...
Aisee leo nimeletewa kadi ya tisa ya mchango wa harusi, single 80,000
Nyingine ni;
1. 40,000 Sept
2. 90,000 Sept
3. 40,000 Oct
4. 50,000 Sept
6. 70,000 Aug
7. 150,000 Oct
8. 35,000 Nov
Total...
Waaah, sijawahi waza kuna baiskeli za bei hii. Eti $ 11,999.99. Na hapo bado nitumie miguu yangu kuisukuma huko milima ya uluguru, na hapo inakuja bila pedals, hizo unalipia extra.
Msimu unaelekea kuanza wa ligi kuu Tanzania Bara 2018/2019 ambapo kwa sasa utajulikana kama TPL
Ila hatujafaham nani au kampuni gani ya television itakuwa inarusha hayo matangazo moja kwa moja...
Wimbi la Wizi na Utapeli kupitia mitandao ya simu linazidi kuongezeka,Vijana wanatafuta njia nyepesi za kupiga pesa.
Nimefanya study yangu ndani ya mwezi huu nimegundua hawa matapeli ni...