Hapana ni uk.Ni Us dollar au?
Hahah humu watu mnafurahisha jamani dohBaiskeli kama ya bei hyo niliomba kuendesha aisee inakitu flani hv wala hunyongi sana inakimbia balaa na wala hunyongi sana
Niliamua kuiendesha kwa kuwa hyo bei yake ni ya gari johberg wakubwa kadhaa wanazo ikopoa yani fasta si mchezo yani kunyonga pedeli kidogo sana ilanhyo speed simchezo haichoshi hata.Hahah humu watu mnafurahisha jamani doh