Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,807
Aisee leo nimeletewa kadi ya tisa ya mchango wa harusi, single 80,000
Nyingine ni;
1. 40,000 Sept
2. 90,000 Sept
3. 40,000 Oct
4. 50,000 Sept
6. 70,000 Aug
7. 150,000 Oct
8. 35,000 Nov
Total 555,000/=
Mshahara wangu sasa ni kichekesho!!!
Kuna wawili wananipigia nimewakaushia. Mwingine mchango wa besidei nimetoka nduki. Yaani hapa ukijumlisha na madeni ntakimbia mji asee!
Hizi harusi hizi.