Fursa za Kimaisha nchini Kuwait

Online Pastor

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,949
2,000
Wakuu,

Sisi wote ni vijana,hivyo ni vizuri kushirikishana.

Miye ningependa kwenda nchini Kuwaiti kuwa minajili ya kibiashara,na pia pia kwa makazi ya muda mfupi.

Ningependa kujuzwa na wale walio kwisha kwenda huko,je:

1)Ni biashara ipi ambayo naweza peleka,na taratibu za kuifungua?
Mathalani miye ni muuzaji wa asali mbichi,je nikiiboresha naweza uza huko?

2)Na je usalama kwa watu weusi ukoje?hawana ubaguzi?

Niko mbioni nafuatilia mwaliko wa kiutumishi na kiuchungaji kwenda huko,hivyo nimeonelea nianzie hapa.

Kwani sarafu ya Kuwaiti iko juu mno kuliko shilingi yetu,hivyo nimeonelea nichangamkie fursa hii.

Kwani Dinari moja ya Kuwait ni sawa na Shilingi 7509.47 ya kibongo!

Natanguliza shukrani!
 

Erickford4

JF-Expert Member
May 22, 2017
1,139
2,000
Changamkia fursa mkuu, ila ukifika uende ubarozi wa Tz huko.. Utapata majibu mengi na zaidi

Kwa kuongezea hiyo ni nchi ya kiislam, kwa uelewa wangu huko kuswali ni lazima sijui umejipangaje hapo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom