Pendekezo: Sikukuu zinazoangukia siku za kazi zifutwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pendekezo: Sikukuu zinazoangukia siku za kazi zifutwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzito Kabwela, Oct 26, 2012.

 1. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,696
  Trophy Points: 280
  Tanzania kama nchi masikini(sio changa) msingi mkubwa wa kuiinua ni kufanya kazi.
  Ni kwa kufanya kazi pekee ndiko kutakakofanya pato la mtanzania mmoja mmoja likue na multiplier effect yake pia inaeleweka.

  Tumekuwa tuna misururu ya sikukuu.
  1. Mwaka mpya
  2. Ijumaa kuu
  3.Jumatatu ya Pasaka
  4. Uhuru wa Zanzibar
  5. Muungano
  6. Mei mosi
  7. Saba Saba
  8. Nane nane
  9.Idd Elfitr 1
  10. Idd Elfitr 2
  11. Maulid
  12. Kumbukumbu ya Baba wa Taifa
  13. Karume day
  14. Idd Elhaj
  15. Uhuru wa Tanganyika
  16. Krismass-1
  17. Krismass 2

  kwa wastani kila mwezi tuna sikukuu. Za nini zote hizi? Ona siku kama ya leo, hakuna kazi hadi jumatatu. Serikali inapoteza mapato kiasi gani?
  Sikukuu ya Krismass mwaka huu itakuwa jumanne na jumatano. Wiki inayofuata jumanne ni sikukuu ya mwaka mpya, kwangu mimi hazina maana kwa taifa lisilo na dini.
  Ni bora hata wangesema ni siku ya kazi nusu kuliko kuacha kwenda kazini siku nzima.

  Ni maoni yangu tu.

  Mzito.
   
 2. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  aiseeee babaangu kwani umekatazwa usifanye kazi siku za sikukuu wengine siku za sikukuu ndio 2naingiza pesa za kufa m2 kulilo siku za kazi
   
 3. s

  supernic Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  jaribu kufikiria upya, ninaunga mkono sikukuu zote zisizo za kidini zifutwe, iachwe ya uhuru tu
   
 4. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ni mawazo yako lakini kwa jinsi watanzania walivyo hawatakubali serikali kutotambua sikukuu zao. Kwa kisingizio cha dini. Lakin vile vile hulazimishwi kusheherekea sikukuu yoyote
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Aiseee naona unahamu ya kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali
   
 6. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Tatizo siyo kuwa na msululu wa siku za mapumziko, swala ni namna gani unatumia muda wako katika siku za kazi. Unaweza kwenda kazini siku saba masaa 24 katika wiki lakini kama ufanisi wako ni wa kiwango cha chini, hutafanya lolote la maana. Haijalishi unatumia siku au masaa mangapi kazini, swala ni ufanisi na ufasaha katika kazi.

   
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Inategemea unafanya kazi gani na wapi, serikalini obvious ndo huwa wanafuata sana hizo sikukuu. lakini mashirika / makampuni binafsi wengi wao hufanya kazi nusu siku isipokuwa katika sikukuu za kidini!
   
 8. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,696
  Trophy Points: 280
  Ni sawa mkuu lakini jaribu kufikiria leo Bandari hawafanyi kazi, Benki hazifanyi kazi, Ofisi za serikali na taasisi zake hazifanyi kazi kiujumla leo serikali imekosa mapato.....
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,696
  Trophy Points: 280
  Hongera mkuu, lakini serikali inakosa mapato
   
 10. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Sikukuu hazina haja ya kufutwa, muhimu ni watu wafanye kazi serious katika siku zao za kazi,, kuna watu wengi tanzania anaenda kazini kuanzia asubuh hadi jion anatoka hakuna alichofanya zaidi ya kucheza karata kwenye Pc na kuchat facebook,, tembelea serikalini uone wamama wanavyouziana vitenge ofisin muda wa kazi badala ya kufanya kazi.. Watu wakifanya majukumu yao siku zote za kazi nchi itafika mbali hata tuwe na siku kuu mia moja lakini tukiendelea hivi hata zifutwe zote bado nchi haitaendelea
   
 11. m

  mhondo JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mapatao yenyewe wanayafaidi watu wachache tu (mafisadi) na familia zao.
   
 12. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  Mi nina wazo tofauti,,,,,, naona ule mpango wa MWINYI urudi...sikukuu ikiangukia weekend tunailipizia siku ya kazi............
   
 13. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,109
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  Sioni sababu ya kufanya siku ya kumkumkumbuka Mw.Nyerere kuwa siku ya mapumziko kwani marehemu alikuwa mchapakazi njia pekee ya kumkumbuka ni kufanya kazi
   
 14. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  mapato yenyewe yanaishia mifukoni mwa mafisadi na uswis
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  tuanze ma trilion yaliyoko nje yarudishe na wahusika kama shimbo, kikwete,lowasa,mkapa,mwinyi wafungwe au wanyongwe baada ya hapo ndipo tufikilie kufuta sikuku na kuongeza muda wa kufanyakazi..tufanyekazi kama japan
   
 16. U

  Ubwaza Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  hayo mapato yanakusaidia nini wewe kama wewe,zaidi ya kuwatajirisha wajanja na mafisadi wachache 2. Kuna wenzako leo hii hatuoni faida wala hasara inayopata serkali mana kama ni makusanya ni mengi mno ila ndo kila mtu anachukua chake kabiq
   
 17. m

  matubara JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Cha msingi ni kujiuliza baada ya kazi: Je ni siku ya kazi imeisha au ni kazi ya siku imeisha?
   
 18. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,100
  Likes Received: 11,250
  Trophy Points: 280
  tena hiyo siku tuingie mashambani kulima.
   
 19. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,366
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  ....Tena kutoka sehemu isiyojulikana...
   
 20. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,877
  Trophy Points: 280
  Zifutwe za Idd tu
   
Loading...