Mwenezi wa ccm Mr Polepole amenukuliwa akisema hakuna mwanachama wa ccm atakayechukua fomu za kugombea majimbo ya Monduli na Ukonga kwa sababu kuna wagombea tayari ambao ni Kalanga na Waitara,full stop
Na bado hamjaona! Kuna makubwa yanakuja hasa mtakapogundua kuwa chama ni cha watu watatu tu yaani mwenyekiti, katibu na mwenezi! Ninyi wengine hamna tofauti na zile karatasi zinazikaa chumba kidogo na hamna maamuzi ya aina yoyote zaidi ya kuimba na kuitikia kiitikio cha kidumu! Jisikieni fahari kwa kutimia ule unabii wa TL kuwa akimaliza huku anakuja huko! Mpooooo wana lumumba fc?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.