Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Niliagiza Gari (Corrola 2000) kwa ajili ya Taxify/Uber Baada ya kujaribu Ku endesha mwenyewe nimeona ni Biashara kichaa. Nachoma mafuta/Naspend muda Mrefu mpk 15hrs na bado naishia kupata trip 3...
1 Reactions
36 Replies
8K Views
Wanabodi baada ya kuzuka utata kwenye hivi vingamuzi kuhusu FTA tumeona channel nyingi za local zimeondolewa kwenye Azam,Zuku nk lkn hili li Tbc lipo halijaondolewa kuna exempt gani inayoifanya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Profesa wa Uchumi wa Chuo Kikuu kimoja alizungumza darasani kwamba hakuwahi kufelisha mwanafunzi hata mmoja, hata hivyo wakati huu Darasa zima lilikua limefeli. Darasa lilikua limejibu mtihani...
10 Reactions
13 Replies
3K Views
Sasa imefika wakati tuwapige "fine" TANROAD angalau watoke usingizini...kila siku ni "dereva ndio chanzo cha ajali" lakini visababishi vya ajali havisemwi...ni dereva tuu! Hebu endesha eneo hilo...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
“Tunapongeza mafisadi kubanwa, kuhama mabondeni hatutaki.” Kimsingi, nilikuwa ninaunga mkono hatua ya vunjavunja maeneo ya bondeni kwa kuwa ilikuwa muhimu kwa nchi. Niliwakumbusha Watanzania...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Leo nimeshangaa sana eti Magufuli anasema treni hadi jijini Mwanza na mizigo inashushwa kuvuka ziwa kwa meli hadi Uganda usumbufu huo wote wa pakia pakua Sijui kwenye meli wameshindwa nini kujenga...
7 Reactions
177 Replies
13K Views
Sawa kwa mengine tunasubiri utata huu upate suluhu mapema, Sikuwahi kudhani kumbe hata kutangaza habari kunataka kibali Hii ni kitu muhimu mno TV ni chombo cha kupasha habari inakuwaje mamlaka...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wakuu humu ndani. Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.nataka mnijuze wajuzi au kuujuza wale ambao wapo kama mimi,hawajui.naami kira MTU hujivunia asili Mali za kwao.nani ufahari ulioje...
4 Reactions
158 Replies
16K Views
Viongozi wa dini ninyi tu ndio tumaini lililobaki kukemea injustice. Mtu anachomwa visu Arusha hadi kuzimia halafu yeye dio anapewa kesi, kosa lake ni kuw yeye ni CHADEMA. Hivi mnajua hata yule...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
MWANDISHI Silas Mbise, anayeonekana katika video fupi iliyosambaa mitandao ya kijamii akishambuliwa na askari wa Jeshi la Polisi kwa mateke na ngumi, amefunguliwa kesi kwa kosa la kutaka kupigana...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
Heshima kwenu wakuu. Nipo hapa Arusha maeneo ya sokoni one mtaa wa madukani, sasa kuna msafara wa magari ya polisi umepita hapa barabarani speed wakiwa na magari ya zima moto, magari ya...
1 Reactions
50 Replies
7K Views
TAARIFA KUHUSU PICHA YA VIDEO INAYOSAMBAA MTANDAONI YA KUPIGWA MWANDISHI WA HABARI Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linalaani vikali tukio linalosambaa mtandaoni la kupigwa kwa...
1 Reactions
180 Replies
28K Views
DC mpya wa wilaya ya Namtumbo mkoa wa Ruvuma Sophia Mfaume Kizigo. Ingawa katika uteuzi huu wa ma DC macho ya wengi hayamfahamu au wala hayamtaji . Lakini kiukweli rais ameteuwa mtu sahihi...
5 Reactions
37 Replies
15K Views
Nimjaribu kuangalia baadhi ya kinachoendelea Mahakamani karibu kila kona ya nchi nimeona kuna kesi ambacho zimefunguliwa hata kwa baadhi ya wafanyakazi waliokuwa wa Umma yaani Utumishi wa Serikali...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Mh. Pd. Anthony Lagwen ateuliwa kuwa Askofu Jimbo Katoliki la Mbulu Baba Mtakatifu Francisko amemteua Mheshimiwa Sana Padre Anthony Lagwen kutoka Jimbo Katoliki la Mbulu, kuwa Askofu mpya wa...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Wakuu heshima kwenu. Nimetafakari kwa kina kwanini chaneli za nyumbani kama Itv, Azam tv, Channel ten, Star tv, Tv E na Cloudz tv zimeondolewa kwenye ving'amuzi vinavyotoa huduma nchini kwetu na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hamjambo wadau, Kila kukicha watanzania wengi wanazidi kufumbuka macho kuhusu jinsi wanavyoonewa kazini kwa kulipwa posho au mshahara kidogo sana tena wengine bila hata mkataba wa kazi wala...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Comrades habari! Katika kitu ambacho kinasumbua dunia kwa sasa ni kufichwa/kuficha historia ya mtu mweusi. Ambapo kwa sasa historia ya Miungu wa Misri kuwa habari zinazochanganya sana jamii ya...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
ITV, tafdhali , kuntadhi, ondoeni(muondoeni) Bi Chau kipindi fulani Jungu Kuu kabla tu ya taarifa ya Habari. Bibie ni mzee, mvuto ulishaisha kitambo na kwa upande fulani kipindi kinachusha na...
4 Reactions
46 Replies
9K Views
Kwa anaye tumia hiki king'amuzi tafadhali naomba kujua kama kinafanya kazi vizuri au ni kwangu tu mizinguo! Na kila nikiwapigia huduma kwa wateja simu haipokelewi. Kwa mwenye namba zao tafadhali...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…