Nitatumiaje Gari langu Private kujiongezea Kipato?

E Kimaro

Member
Joined
Dec 12, 2013
Posts
33
Reaction score
20
Niliagiza Gari (Corrola 2000) kwa ajili ya Taxify/Uber

Baada ya kujaribu Ku endesha mwenyewe nimeona ni Biashara kichaa. Nachoma mafuta/Naspend muda Mrefu mpk 15hrs na bado naishia kupata trip 3 mara 4 mara skuingine 2. Nimeamua kaachana nayo.kuna siku narudi nyumbani sina hata 100. Skuingine najikuta nimetumia Pesa zangu

Sasa nimebaki nina Gari mbili langu nlokuwa nalitumia kawaida na hili nililoagiza kwa ajili yakumpa Dereva.

Wadau tushauriane.Ntalitumiaje Hili gari kujiogezea kipato? Kwa sasa nime li park sku mojamoja sana nalitumia kwendea kazini.

Nipeni mawazo wadau.ila kwa Uber/Taxify BIG no nimefanya mwenyewe nimejionea balaa lake.
20180710_123200~2.jpg
 
Ungenunua daladala mkuu.
Ndo tayari nishaagiza iyo ndinga mdau. Mwanzo niliambiwa ni biashara ya Uber/Txify inayolipa ila asee sidhani kama ni kweli tena. Labda walipoanza.
 
Siyo kila mtu anaweza Biashara ya taxi. Tafuta mtu mkabidhi mkubaliane malipo kwa siku au wiki
 
P
Niliagiza Gari (Corrola 2000) kwa ajili ya Taxify/Uber

Baada ya kujaribu Ku endesha mwenyewe nimeona ni Biashara kichaa. Nachoma mafuta/Naspend muda Mrefu mpk 15hrs na bado naishia kupata trip 3 mara 4 mara skuingine 2. Nimeamua kaachana nayo.kuna siku narudi nyumbani sina hata 100. Skuingine najikuta nimetumia Pesa zangu

Sasa nimebaki nina Gari mbili langu nlokuwa nalitumia kawaida na hili nililoagiza kwa ajili yakumpa Dereva.

Wadau tushauriane.Ntalitumiaje Hili gari kujiogezea kipato? Kwa sasa nime li park sku mojamoja sana nalitumia kwendea kazini.

Nipeni mawazo wadau.ila kwa Uber/Taxify BIG no nimefanya mwenyewe nimejionea balaa lake.View attachment 833738
Pole Mkuu ila still uber na taxify ni biashara nzuri sana.. ina tegemea ulikuwa una fanya vipi hiyo biashara... Kwa nijuavyo mm hizi kampuni huwa zina onesha wateja wao wapi palipo na wateja wengi hot areas na wapi sio. Hii ina saidia madereva ...pia unaitajika uwejanja mfano dar Wapi kuna watumiaji wengi wa Uber ? Upanga,Masaki, kinondoni etc tega maeneo hayo utafaidi sana wapo watu nawajua wamepata permanent customers kila siku ana wabeba

Ushauri usiache hii biashara ila jaribu mtazamo mwingine wa namna ya kuifanya
 
Asante Mdau
 
Siyo kila mtu anaweza Biashara ya taxi. Tafuta mtu mkabidhi mkubaliane malipo kwa siku au wiki
Kama hunajaa kubwa ya pesa na unamahara ya kupaki gari lako piki tu. Uwe na gari zako mbili kama matajiri wanavo fanya, ila kumpa mtu utajutia nakuumia mara mbili yake
 
Miezi miwili ni muda mfupi sana.
Kwenye biashara ukiwa mtu wa kukata tamaa kirahisi huwezi kufanikiwa kamwe!
 
biashara ya uber ni ngumu sana.. sabab mpo wengi.. bei ndogo.. na hapo hapo uber mwenye app anachukua 25 parcent ya kila trip
 
Back
Top Bottom