Viongozi wa dini kemeeni hii injustice, mtu anachomwa visu anazimia halafu anapewa kesi!

Ile kauli ya "msithubutu kuwa nyutro" ndiyo kauli iliyopaswa kukemewa na viongozi wa dini the same day ilipotolewa pale Ikulu.

Haya ni matokeo ya amri ile ya jiwe iliyotolewa kwa watendaji wa serikali.
 
Kwahiyo ulitaka yule mwandishi asipewe kesi hata kama alitenda kosa?. Vile vitasa ilikua ni hatua ya kumrainisha baada ya kuleta ukorofi.
 
Hakuna atakae achwa waache waufyate kwa nimjuavyo bata anaweza akataga mayai yake hayo hayo mengine akafanya chakula.
 
Nna rudia tena kusema ,Siku Wapenda Haki watakapo amua na wao kukimbia kama CCM na Jeshi lake wanavyo kimbia haya hayata endelea.

Haiwezekani Watu wana tangaza Amani huku Mikononi wame shikilia Mapanga ,haiwezekani kabisa ni kwa nini mnatuonea ?.
 
Kwahiyo ulitaka yule mwandishi asipewe kesi hata kama alitenda kosa?. Vile vitasa ilikua ni hatua ya kumrainisha baada ya kuleta ukorofi.

Ingekuwa Magereza yanawafunza Watu baasi Uhalifu ungekuwa ume pungua sana ,endelea kupiga Mbiu ila ipo Siku yako na wew yatakukuta hata kwa Ndugu yako.
 
Nna rudia tena kusema ,Siku Wapenda Haki watakapo amua na wao kukimbia kama CCM na Jeshi lake wanavyo kimbia haya hayata endelea.

Haiwezekani Watu wana tangaza Amani huku Mikononi wame shikilia Mapanga ,haiwezekani kabisa ni kwa nini mnatuonea ?.
Ubepari na mabepari walioko ndani ya Chadema hawawezi kushindana na ujamaa kwa mbinu za kijamaa wakashinda. Kwanza bado Chadema haijajenga itikadi yao na imani kwa wananchi kiasi cha watu kukipigania chama kwa nguvu zote kwenye njaa na shibe.

Lema anakimbilia kwenye Tweeter badala ya kukusanya ushahidi wa tukio zima na kuwapa hao Viongozi wa dini.
Siku hizi mpaka viongozi wa dini wengi wanatumia whasapps. Kama ukweli upo basi unawapa waone na wale wanaokaa karibu na wahanga wawatembelee hospitalini au gerezani waone. Sio kulia lia tu kwenye mitandao ya Tweeter na Instagram.

Fanyeni Siasa za kisaarabu kama mnataka suluhu.Mbona Lowasa ameongea kistarabu tu na kupeleka ujumbe umfikie Mh. Rais kuwa Watendaji wasitumie jina la Rais vibaya.
Mana kwa sasa unaweza ukamkuta mtu akakuambia nimetumwa na Rais niwalmalize wapinzani wakati sio Kweli na wala Rais hajamtuma.
 
Back
Top Bottom