ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Sawa kwa mengine tunasubiri utata huu upate suluhu mapema, Sikuwahi kudhani kumbe hata kutangaza habari kunataka kibali
Hii ni kitu muhimu mno TV ni chombo cha kupasha habari inakuwaje mamlaka wanaruhusu ifanye shughuli zake kwa miaka mingi Bila kibali halafu ghafla TV wanaambiwa simamisheni kutangaza habari kwa kua hamna kibali kama sheria inavyotaka
Taarifa ya Habari ni kitu muhimu mno kwenye taifa lolote, hapo mwananchi anapata taarifa nyingi muhimu za kila siku ikiwa ni pamoja na matukio
Kuishi Bila habari ni sawa na kuishi pangoni ambapo hutoki nje na hujui nini kinaendelea
Nahisi hili litakuwa na athari zake kubwa kwa jamii
Tcra liangalieni hili tupate matukio ya kila siku ndani na nje ya nchi kupitia Azam TV.