Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Hiz tafiti cjui Magufuli anapendwa na nani cjui hpendwi na nani, hazina msaada wwte katika maendeleo ya nchi hii. Tunataka tafiti zenye tija.
Tunahitaji tujue ni viwanda vingapi vimejengwa, vinaingiza kiasi gani katika pato la taifa. Na vingapi vimekufa awamu hii na vimepunguza pato la taifa kiasi gani.
Huu utafiti utatusaidia kma kweli tutahitaji kujiunga kutoa support kwa mkuluu na legacy yake ya viwanda.