Wizi mpya: TCRA kuna utapeli huu umeshika kasi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,543
44,690
Walikuja vijana wa will wamevalia t shirt za Vodacom mpesa wakamkuta maza angu wakamwambia lete line yako tuibadilishe iwe line ya chuo Sasa mama akatoa line yake akawapa wakaweka kwenye simu yao Kisha wakaanza KUFANYA mautundu yao kumbe wakaenda kwenye kutuma hela wakatuma hela Kisha wakamdanganya mama aweke namba ya siri kwenye simu. Kwa kuwa mama anajua anaungiwa kifurushi akachukua simu yao Yenye line yake Kisha akaweka namba ya siri kumbe anawatumia hela bila kujua.wakachomoa line haraka wakapita hivi..baadae ndo maza anapata meseji kwamba hela ilitumwa kwenye namba fulani Tena Ni ya Tigo..shilingi 80000
Hali ya hewa sio nzuri mitaani.
 
Tamaa ilimponza fisi! Yeye mama mtu mzima anataka aunganishwe na line ya chuo kwani anasoma chuo gani yeye kama sio tamaa za fisi?
In fact anastahili akamatwe afunguliwe mashtaka ya kughushi line ambayo ni mahsusi kwa wanachuo ili kuwapa unafuu wa kupata elimu kwa njia ya mtandao. Tcra kamateni hii mwizi haraka sana!
Hiyo 80kz waliyompiga ni kidogo sana haitoshi kukata kiu yake ya tamaa za kifisifisi! Bs
Usilete posts za kijinga kama hizi hapa, huyo mama yako hakutapeliwa bali alijiingiza kwenye 18 za wakali kwa tamaa zake mwenyewe!
 
aisee
 
wamama wataendelea kulizwa kila idara maana wana tamaa sana. Walizike na walivyonavyo wasitake vya mteremko sana.... Chuo hakimuhusu, atulie tu wala asiendelee kulalamika km kaibiwa. Japo tunajua wazi, mume wake ndio amelizwa zaidi maana inawezekana ndiye mtoaji wa mapesa ya humo kwenye akaunti
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Tamaa ilimponza fisi! Yeye mama mtu mzima anataka aunganishwe na line ya chuo kwani anasoma chuo gani yeye kama sio tamaa za fisi?
In fact anastahili akamatwe afunguliwe mashtaka ya kughushi line ambayo ni mahsusi kwa wanachuo ili kuwapa unafuu wa kupata elimu kwa njia ya mtandao. Tcra kamateni hii mwizi haraka sana!
Hiyo 80kz waliyompiga ni kidogo sana haitoshi kukata kiu yake ya tamaa za kifisifisi! Bs
Usilete posts za kijinga kama hizi hapa, huyo mama yako hakutapeliwa bali alijiingiza kwenye 18 za wakali kwa tamaa zake mwenyewe!
Nalo neno
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Walikuja vijana wa will wamevalia t shirt za Vodacom mpesa wakamkuta maza angu wakamwambia lete line yako tuibadilishe iwe line ya chuo Sasa mama akatoa line yake akawapa wakaweka kwenye simu yao Kisha wakaanza KUFANYA mautundu yao kumbe wakaenda kwenye kutuma hela wakatuma hela Kisha wakamdanganya mama aweke namba ya siri kwenye simu. Kwa kuwa mama anajua anaungiwa kifurushi akachukua simu yao Yenye line yake Kisha akaweka namba ya siri kumbe anawatumia hela bila kujua.wakachomoa line haraka wakapita hivi..baadae ndo maza anapata meseji kwamba hela ilitumwa kwenye namba fulani Tena Ni ya Tigo..shilingi 80000
Hali ya hewa sio nzuri mitaani.
Nenda polisi fungua kesi. ukikwama sehemu na ukahitaji msaada usisite kuni PM.
poleni kwa changamoto
 
Tz kuna huduma nzuri kwa wateja kama hii? Unawafuata maofisini mwao na bado wanajivuta kukuhudumia, sembuse kuja nyumbani kwako!
 
Tamaa ilimponza fisi! Yeye mama mtu mzima anataka aunganishwe na line ya chuo kwani anasoma chuo gani yeye kama sio tamaa za fisi?
In fact anastahili akamatwe afunguliwe mashtaka ya kughushi line ambayo ni mahsusi kwa wanachuo ili kuwapa unafuu wa kupata elimu kwa njia ya mtandao. Tcra kamateni hii mwizi haraka sana!
Hiyo 80kz waliyompiga ni kidogo sana haitoshi kukata kiu yake ya tamaa za kifisifisi! Bs
Usilete posts za kijinga kama hizi hapa, huyo mama yako hakutapeliwa bali alijiingiza kwenye 18 za wakali kwa tamaa zake mwenyewe!
:oops::oops::D:Daisee
 
Mwenzenu kawapa alert just in case inatokea kwako au kwa ndugu yako,,nyie mnamshambulia,,

Ila kimoyomoyo mnaifanyia kazi,,I'm sure😂
 
Tamaa ilimponza fisi! Yeye mama mtu mzima anataka aunganishwe na line ya chuo kwani anasoma chuo gani yeye kama sio tamaa za fisi?
In fact anastahili akamatwe afunguliwe mashtaka ya kughushi line ambayo ni mahsusi kwa wanachuo ili kuwapa unafuu wa kupata elimu kwa njia ya mtandao. Tcra kamateni hii mwizi haraka sana!
Hiyo 80kz waliyompiga ni kidogo sana haitoshi kukata kiu yake ya tamaa za kifisifisi! Bs
Usilete posts za kijinga kama hizi hapa, huyo mama yako hakutapeliwa bali alijiingiza kwenye 18 za wakali kwa tamaa zake mwenyewe!
Mkuu umeingia jana mjini toka maguguni'nini?
Eleza kwa kirefu unavyofahamu tangu lini line za mitandao zinazoitwa za chuo zikawa ni za wanachuo pekee kweli?
Tunapokaza mishipa ya shingo kushuhudia neno aliloumizwa nalo mtu mwingine basi tusiweke ushabiki.
Jaribu nenda kesho kwa wauzaji wa line hizo za chuo, waulize masharti ya kununua hizo line kama kweli ni mahsusi kwa wanachuo pekee!
Unaelewa maana sahihi ya neno chuo wewe?
Kwanini zinauzwa bila kuombwa kitambulisho cha chuo kama hicho ni kigezo?
 
Ni wapigaji kama wewe tu hao, neno chuo lina maana moja tu dunia hii, upo hapo au bwabwa tu!
 
Back
Top Bottom