Nataka kuwa raia wa Isiraeli

Nataka kuwa raia wa Isiraeli

KIBESENI

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
360
Reaction score
351
Wakuu kama somo hapo juu linavyosema. Kwa kweli tz yangu imenichosha sana, natamani nipotee niende mbali na tz. Napenda kwenda kwa waisraeli. Naomba mwenye kujua jinsi yakupata uraia wa isirael, namshaliti ya mwombaji, naweza kuombanikiwa tz, hata ghalama kiasi gani kama zipo. Napenda nikifanikiwa niishi vijijini israeli.
AMANI KWA ISRAELI.
MADONGO YAKUJENGA LUKSA
 
Wakati wa uchaguzi tulimchagua wote mzee baba lakini wakati wa kuisoma namba unataka kutukimbia...no way
Utabaki bongo na namba tutasoma wote labda usubiri 2025
 
Wakati wa uchaguzi tulimchagua wote mzee baba lakini wakati wa kuisoma namba unataka kutukimbia...no way
Utabaki bongo na namba tutasoma wote labda usubiri 2025
Nice Answer My dear Komaa Tusome tuu no No way Na this time kwenda hukoo Masharti yake km unaenda kuomba kuingia ubalozi wa marekan
 
Yaani kule kwa Benjamin Netanyahu mhhh taifa teule? ok ukifanikisha hilo nauhakika na kutuletea mbegu za taifa teule utaweza
 
Tafuta leseni na mikataba ya biashara kwanza ndio kibali cha kuondokea
 
Back
Top Bottom