Babu Afunga Smartphone 11 Kwenye Baiskeli Ili Acheze ‘Game’

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,741
Reaction score
25,681
pokemongo-0.jpg

KIBABU, Chen San Yuan, wa Taiwan, amefunga simu 11 kwenye baiskeli yake ili kila aendapo aweze kucheza michezo ya Pokemon iliyoko kwenye simu hizo.
Yuan, mwenye umri wa miaka 69 na anayeishi jiji la New Taipei, huzunguka na simu hizo kila mahali aendapo na akiingia mahali huzifungua kwenye baiskeli na kwenda nazo ili aweze kucheza wakati wowote.
h-54538639.jpg

Hulka hiyo ilianza mwaka 2016 wakati mjukuu wake alipomfundisha kucheza michezo hiyo ambayo imemjengea tabia hiyo ya kuutumia muda wake asipokuwa kazini kucheza michezo hiyo.
h-54539265-1.jpg

Licha ya kwamba simu hizo zimemgharimu Paundi 1,165 (Sh. mil. 3.3), bado anataka kununua simu nyingine zaidi ili zifike 15.
 
Fanya kitu roho unapenda. Angehibga hiyo pesa asingeiona tena lakini sasa hivi kila akiamka anaiona £1,165 yake.
 
pokemongo-0.jpg

KIBABU, Chen San Yuan, wa Taiwan, amefunga simu 11 kwenye baiskeli yake ili kila aendapo aweze kucheza michezo ya Pokemon iliyoko kwenye simu hizo.
Yuan, mwenye umri wa miaka 69 na anayeishi jiji la New Taipei, huzunguka na simu hizo kila mahali aendapo na akiingia mahali huzifungua kwenye baiskeli na kwenda nazo ili aweze kucheza wakati wowote.
h-54538639.jpg

Hulka hiyo ilianza mwaka 2016 wakati mjukuu wake alipomfundisha kucheza michezo hiyo ambayo imemjengea tabia hiyo ya kuutumia muda wake asipokuwa kazini kucheza michezo hiyo.
h-54539265-1.jpg

Licha ya kwamba simu hizo zimemgharimu Paundi 1,165 (Sh. mil. 3.3), bado anataka kununua simu nyingine zaidi ili zifike 15.
Kwanini umetumia lugha ya dharau (kibabu)? Ni ujanja au ujinga? Heshima ni kitu muhimu katika maisha.
 
pokemongo-0.jpg

KIBABU, Chen San Yuan, wa Taiwan, amefunga simu 11 kwenye baiskeli yake ili kila aendapo aweze kucheza michezo ya Pokemon iliyoko kwenye simu hizo.
Yuan, mwenye umri wa miaka 69 na anayeishi jiji la New Taipei, huzunguka na simu hizo kila mahali aendapo na akiingia mahali huzifungua kwenye baiskeli na kwenda nazo ili aweze kucheza wakati wowote.
h-54538639.jpg

Hulka hiyo ilianza mwaka 2016 wakati mjukuu wake alipomfundisha kucheza michezo hiyo ambayo imemjengea tabia hiyo ya kuutumia muda wake asipokuwa kazini kucheza michezo hiyo.
h-54539265-1.jpg

Licha ya kwamba simu hizo zimemgharimu Paundi 1,165 (Sh. mil. 3.3), bado anataka kununua simu nyingine zaidi ili zifike 15.
Mama yko akifikisha umri huo utafurahi tukimuita kibibi? ai baba yako tukimuita kibabu? Acha dharau
 
Back
Top Bottom