Nina mpango wa kujitengenezea "Fake Death"

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,450
Reaction score
6,211
Habari za jioni wanajamvi natumai nyie wote ni wazima nijielekeze kwenye maada

Kunastuation flani ambayo ninakabiliana nayo naili kufanikiwa kwa usahihi na bila kuharibu na kuvuruga utaratibu mzuri inanibidi kutengeneza kifo (Fake Death) ili kuwaaminisha baadhi ya watu kuwa nimekufa ili niwe huru kufanya baadhi ya mambo nitareta mrejesho soon

=====

Wakuu habali za leo ninapenda niwashukuru wote mlio changia uzi wa kwanza but ni hivi lile swala nimelifanikisha naishukuru timu nzima walio fanikisha hili swala saivi niko holiday Iceland baada ya mapumnziko nitarudi kuendelea na swala lililonifanya nifake death msiba ulifanyika mbeya jumatatu najua kunawatu wameumizwa but I will back again
 
Sidhani kama nitakuwa nimekuelewa vizuri,so nikusema ukisha fake hiyo death kuna manufaa yoyote tutayapata kutokana na hilo tukio?

Fafanua vizuri siyo ukapige hela huko then utuchomeshe sisi mahindi hapa.
Yes kuwaaminisha some people ili nifanye kazi moja hivi
 
Sidhani kama nitakuwa nimekuelewa vizuri,so nikusema ukisha fake hiyo death kuna manufaa yoyote tutayapata kutokana na hilo tukio?

Fafanua vizuri siyo ukapige hela huko then utuchomeshe sisi mahindi hapa.
Cha msingi atapeli pesa alafu afake death akaibukie visiwa vya mbali aendelee na maisha
 
Nahisi hii itakua part 2 ya kahona pyarihe
 
Habari za jioni wanajamvi natumai nyie wote ni wazima nijielekeze kwenye maada
Kunastuation flani ambayo ninakabiliana nayo naili kufanikiwa kwa usahihi na bila kuharibu na kuvuruga utaratibu mzuri inanibidi kutengeneza kifo (Fake Death) ili kuwaaminisha baadhi ya watu kuwa nimekufa ili niwe huru kufanya baadhi ya mambo nitareta mrejesho soon
Hhh[emoji23] niliwahi kuwa na mawazo ka yako
 
Back
Top Bottom