kimpango
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 600
- 717
Wakuu,
Kwa mwaka 2017 unafikiri nani ni member ambaye amekuwa positive impact kwenye maisha ya Watanzania wenzake kwa namna moja ama nyingine. Nafikiri Jamii Media pia wangetoa tuzo kwa hili.
Mimi wa kwangu ni hawa wawili;
1, Sirjeff Dennis(Ontario)Poultry farming earns prudent varsity student Sh24m monthly
2. Dragoon
Weka wa kwako kama una tofauti na hawa list ifike japo 100 december 10 tutawaweka 10 bora tuchague mmoja from the list kura ni siku 10