celinawetu
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,330
- 1,059
Meneja wa NSSF Temeke ndugu James Oigo sasa ni mwezi alikamatwa na TAKUKURU kwa kupokea rushwa toka kwa mwanachama.
Alifikishwa mahakamani na kuachiwa kwa dhamana. Cha ajabu bwana huyu ameendelea kubaki ofisini hadi leo.
Leo JPM katengua uteuzi wa mkurugenzi mkuu NSSF.