Msaada wa kuanzisha biashara ya maji au kiwanda cha maji

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,493
Reaction score
2,366
Wakuu naombeni ushauri, nataka kuanzisha biashara ya maji ya kunywa, natafuta kiwanda ambacho kitakubali kuingia mkataba na mimi wanizalishie kwa brand yangu kama inakubalika kisheria nikapambane sokoni. Kama haiwezekani basi kukodi kiwanda kilichofungwa au kinacholega lega nikiendeshe.

Vyote vikishindikana kabisa basi nakaribisha wenye uzoefu wanipe mawazo ya kuanzisha kiwanda kipya
 
Unaenda kupambana na hawa sokoni..

-Canadian Drinking water

-Masafi

-Afya

-Uhai

-Sayona Fruits Limited

-Sky Drops Drinking Water

-Aqualink Desalination (T) Ltd

-Cool Blue Pure Drinking Water Home & Office Delivery

-Water Solution

-Kisima Pure & Refreshing Drinking Water

-Pure Life Water Purification Plants.
 
Inatokana na target ya soko lake na ukubwa wa budget....
Kuna wilaya huwezi kukuta hayo maji uliyoyataja hapo wao wanatumia local brand
 
Kweli kabisa, ukiogopa changamoto hutafika
 
Wakuu naombeni ushauri, nataka kuanzisha biashara ya maji ya kunywa, natafuta kiwanda ambacho kitakubali kuingia mkataba na mimi wanizalishie kwa brand yangu kama inakubalika kisheria nikapambane sokoni. Kama haiwezekani basi kukodi kiwanda kilichofungwa au kinacholega lega nikiendeshe.

Vyote vikishindikana kabisa basi nakaribisha wenye uzoefu wanipe mawazo ya kuanzisha kiwanda kipya
Mkuu nicheki tuyajenge mie hapa nilipo nina quote ya kiwanda kidogo cha 2000 Bottles per hour
 
Back
Top Bottom