Hii ya msemaji wa polisi kutetea uvunjaji wa sheria imekaaje

Maziku-Winston Smith

JF-Expert Member
May 17, 2015
296
167
Habari za humu wanajamvi.

Ni takribani siku nne sasa zimepita tokea tushuhudie tukio la mwandishi wa habari akishushiwa kipigo pale uwanja wa Taifa na askari wa jeshi la polisi.

Haikuchukua muda mrefu kabla ya wapenda haki wote wa Tanzania kulaani kitendo kile cha unyama kilichofanywa na polisi wakiwemo wanasiasa na wanamichezo mbalimbali.

Licha ya hayo nimesikitishwa sana na majibu yaliyotolewa na msemaji wa jeshi la polisi. Na kwa kuwa sitaki kummezesha maneno hebu msikilize mwenyewe hapa chini

 
Back
Top Bottom