Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,389
- 1,066
Dunia ni yaajabu sana, binadamu ni viumbe wa ajabu sana pia,, hivi utajuaje kua alie mbele yako hana akili?
Wakati wewe ukiamini una akili walio nyuma yako nao wanakuona huna akili...
Hivi mtu asie na akili utamtambua vipi?
Wakati wewe ukiwaza labda kujenga hospitali kwa mfano..ukahisi hizo ndizo akili basi kuna mtu nyuma yako anasema huna akili kwa nn usijenge kwanza darasa?
Kinacho tuumiza ni kutaka watu wanao tuongoza waishi ktk maono yetu huku tukisahau kua na wao ni wanadamu na kwa vyovyote vile watakua na maono yao..
Ubaya ni nn??
Ubaya huletwa na fikra za kuutafuta ubaya toka kwa mtu kuliko kuyatafuta mema yake..
Hapo ndio utagundua kutokua na akili ni kuzifanya akili zako kutotambua mazuri ya mtu mwingine na kuamini mazuri yako ambayo kwa mwingine ni ujinga ndio akili..Tunaishi ktk dunia ambayo lazima tuishi kwa nyakati zinazo tofatiana kimtazamo na kiitikadi.
Akili ni kuyatambua mema ya mtu mwingine kuliko mabaya hasa ukizingatia kwamba hakuna mkamilifu chini ya jua..
Wahenga ni watu kama sisi hivyo hata wewe waweza ifanya dunia isimame na kukusikiliza endepo tu... utaamua kuyatambua mema ya mtu mwingine na kuyalekebisha mapungufu yake kwa njia sahihi na sio kumuhalibia...