STUKA M1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,615
- 7,256
Habari za usiku huu wakuu...
Naomba kufahamishwa kwa waliowahi kutuma pesa nje ya nchi kupitia mtandao huu pendwa (Vodacom).
Vipi kuhusu makato/ada ya transaction after to send money.. Ni sawa tu na kiasi cha makato ya ndani ya nchi..? Maana nataka nitume pesa Kenya