Wasalam watanzania wenzangu.
Najitokeza kwenu kuwaombea msaada kadri ya mtakavyoweza nisaidia. Sihitaji msaada wa pesa ila naomba kusaidiwa kazi.
Ki ufupi mimi ni graduate wa sheria chuo kimoja hapa Tanzania, nimehitimu mwaka 2016 lakini tangu nihitimu nimestruggle sana kupata ajira pengine kutokuhudhuria shule ya sheria (Law school) yaweza kuwa sababu moja wapo japo sio kosa langu ila ni ukata wa familia yangu.
Kuhusu swala la uzoefu, nimefanya internship mahakama moja ya wilaya na law firm moja mjini hapa Dar na baada ya kuhitimu nilijiunga eneo hilo nilipofanya internship kama graduate trainee na tulielewana nitakuwa nalipwa kiasi flani nami nikaona angalau niwepo hapa na nikusanye kusanye ili mwisho wa siku niende law school nitimizendoto yangu ya kiwa wakili. Ajabu sikupata kulipwa hicho kiwango zaidi yakupewa pesa ya nauli.
Nimekaa pale kwa muda wa mwaka huku nikihangaika kutafta sehemu nyingine ila sikubahatika maana lawfirm nyingine nilizoomba niliambiwa at least ningekuwa nimegraduate law school au ningekua law school na natafta internship.
Nikaona isiwe tabu ngoja nijaribu kuomba popote nikajiunga na sites mbalimbali za matangazo ya ajira nikawa natuma applications nimebahatika kuitwa ktk interviews tatu lakini sijabahatika kupata nafasi.
Mbali na hayo nikaona nisijifanye nataka sana kazi za ofisini nikaona ngoja ni lande hata huko ma viwandani kutafta hata kazi za muda/vibarua Nimekaa sana pale EPZA, tegeta huko, mbagala lakini sijabahatika.
Ki ukweli wandugu nimehangaika na familia yangu yanitegemea, ninawadogo zangu wananitegemea na hakuna mwingine wa kuwasaidia maana baba ni mimi na mama ni mimi.
Hivyo basi wadau naombeni mwenyenafasi ya kunisaidia kazi si lazima iwe ya ofisini hata ya kutumia nguvu mimi nipo tayari.
Ujuzi wangu, niko vizuri ktk ku draft na kuandaa legal documents kama pleadings, contracts, memarts, demand notes n.k. pia nipo vizuri ktk research
Usisite kunipa kazi yoyote kwa kuangalia elimu yangu kikubwa ni maisha na mimi nitaipiga.
Nashukuruni sana na nakaribisha ushauri, maoni na maswali.
Ahsanteni sana.