Adha hii imeshawahi kukutokea!

Adha hii imeshawahi kukutokea!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Ikiingia kwenye simu yako unakuta kuna majina umesave ila hukumbuki ni nani!mfano umesave merry ama Dick lakini huna idea yoyote kuhusu hao watu!

Ilu kuepukana na hali hiyo nimejikuta na save mtu kutokana na muonekano wake!kama unapenda kuvaa kapelo nitasave Dick makapelo,Kama unapenda kuvaa rangi ya njano nitasave Juma yeboyebo,kama unaongea sana nitasave Amina cherehani,Hamisi kiduku,Abdala mfia dini,etc

Wewe huwa unatumia mbinu gani ili usisahau?
 
mimi majina yote ya totoz nimesave mavitu ya ajabu ajabu,
khadija....dj khaled
pendo...playstore
Cleopatra....AK47
sasa siku nikihitaji kuongea na yeyote kati yao huwa natafuta namba mpaka natukana, maana nakuwa nimesahau nimesave jina gani, kuna mmoja alichukua simu yangu akaishika kisha kunipigia likatokea jina MSWAKI alimaind kishenz
 
Hua nasave mtu kwa jina la utani ili nisimsahau au sehemu tuliyokutania mfano UrioMaritime, Rambo, BillClass, UkuwiJf.
 
mimi majina yote ya totoz nimesave mavitu ya ajabu ajabu,
khadija....dj khaled
pendo...playstore
Cleopatra....AK47
sasa siku nikihitaji kuongea na yeyote kati yao huwa natafuta namba mpaka natukana, maana nakuwa nimesahau nimesave jina gani, kuna mmoja alichukua simu yangu akaishika kisha kunipigia likatokea jina MSWAKI alimaind kishenz
[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom