WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora wajiondoe katika kufanya biashara na halmashauri hiyo kwa kuwa wanakiuka maadili ya utumishi wa umma.
Ametoa...
Wanabodi
ITV Breaking News, imetangaza ajali mbaya ya lori la mafuta mpaka wa Rusomo, ambapo lori hilo limegonga gari nyingine na kulipuka, hivyo kulipua magari mengine na hivi sasa yanateketea...
Salaam nyote!
Naomba kushiriki nanyi baadhi ya mambo kadhaa ambayo kwa siku za hivi karibu yalipata kutokea katika mzunguko wa Maisha yangu japo nimebaki kutafakari pasipo kupata tafsiri sahihi...
.
-Kamishna mpya wa wilaya ya Arumeru Jeru Muro alitangaza kuharamishwa kwa karoti kutoka Kenya
- Sasa mkuu huyo amekamata malori 10 kutoka Kenya baada ya kuyashuku kuwa na bidhaa za magendo
-...
Habarini wadau!
Natumai mu wazima na afya na mnaendelea na shughuli za kujiongezea kipato.
Kuna jambo limekuwa likiendelea nchini kwetu, na sasa limeshamiri na kuonekana ni jambo la kawaida sana...
Mtu mlisoma nae msingi/sekondari alikuwa smart balaa au beauty kweli mkamaliza msingi/ sekondari mkaachana kwa kusambaratishwa mashule kila mtu amepigika kivyake ili apate elimu itayomkomboa...
Hapa kwenye nyumba nilipopanga tupo wapangaji wawili kama kila mtu upande wake .
Miezi miwili iliyopita nilikua likizo kwa hiyo mara kwa mara nilikua nawahi kurudi nyumbani.
Daah mara nyingi...
hello JF,
niseme tu nimesikitishwa na Dreamliner kufanyiwa check up baada ya tripu mbili(sijui ukweli ni upi?)
ila kama ukiangalia vizuri katika teuzi zake Magufuli amejaza maproffessor…
sasa...
Historical injustices!!
Kisili Mutua, who was convicted of Pio Gama Pinto's muder before being released later, with former Chief Justice Willy Mutunga at a past function in Nairobi.
A handcart...
Nimejiuliza swali hili baada ya jamaa mmoja hapa jirani kusema anamiliki laini 4 za simu kwa ajili ya kucheza bahati nasibu kila anunuapo vifurushi. Nimecheka sana.........labda serikali inataka...
Habari wa wana jf,
Nimejitokeza hapa kwa mara nyngne maana kuna kipindi nilikuja hapa na hoja kwamba kuna mpango wa kuanzishwa kwa bodi ya kusimamia utaalamu wa walimu na vikao vya siri...
Akhbary za SAA hizi wakuu
Wakuu mwenye uzoefu na kilimo cha mahindi ya bisi na soko lake anijuze mana kilo moja dukani imefka elf 3 now inaelekea in kilimo kinacholipa
Viwanja vya ndege vya JKNIA na JKIA vinatuchanganya nadhani kimoja ni vizuri kikabadilishwa jina, kama mtaamua chetu ndiyo kibadilishwe basi nashauri kiitwe Nyerere international airport(NIA)...
Nianze kwa kusema kwamba imani zetu wengi ndio zinatufanya kuwa watu wa wasiwasi na kushindwa kufurahia miaka yetu michache tunayoishi hapa chini ya jua.
Unamkuta mtu msomi kabisa humu anaamini...
Kiama kinazidi kutuandama wabongo,walianza kuzima Bunge Live,kama masihara wamekuja kwenye blogs,sasa kwenye local Channels,kabla halijaisha jana imetoka taarifa ya umiliki wa line za simu moja tu...
Wakuu kwa habari za vijiweni hivi sasa barabara zote Tanzania zimesheheni tochi vilivyo. Ninaamini lengo ni kuondoa kabisa ajali barabarani wala si kuongeza mapato kama wengi wetu tunavyodhani...
Agano la kale lilikuwa kivuli juu ya agano jipya ( wakolosai 2:17).
Yesu alisema alivitakasa vyote kimwingiacho mtu na hakimtii unajisi (mark 7:17-20)
Nguruwe anaogopwa na wenye pepo ila sisi...