Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa ufupi, Sijui mipango ya hii miji inapangwa vipi. Kipindi serikali inafanya juhudi kutanua Morogoro road moja ya sababu kuu ilikuwa ni kuzidiwa kwa wingi wa magari. Hivi nani aliamua mabasi...
4 Reactions
13 Replies
373 Views
Hivi karibuni tumeona baadhi ya viongozi nanwatendaji wakikemea kuhusu mwendokasi wa madereva lakini ajali bado ni nyingi, tulijaribu kufanya research ndogo kwa nini hasa hii hali. Na dereva mmoja...
6 Reactions
14 Replies
306 Views
“Hawa ni sehemu ya watoto wa jamii, na ulemavu siyo kikwazo, ulemavu ni sehemu ya aina ya uwezo tofauti, na jamii yetu lazima itambue uwezo wa aina tofauti,” Ni sauti ya msisitizo ya Makumba...
1 Reactions
0 Replies
298 Views
Huenda walikuwa watundu sana, au wakaonekana wenye kiburi, au wazazi waliwapuuza hata walipokuwa watiifu na wenye heshima. Lakini ukubwani, mambo yanakuwa tofauti, unakuta wanabeba mizigo ya...
2 Reactions
1 Replies
108 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Huyu mwamba kila kinachotoka mdomoni mwake ni matusio from juma tatu hadi jumapili . Sio saa kumi na mmoja alfajiiri hadi usiiku wa manane. Haiwezekani mwanadamu wa kawaida awe wa matusi...
17 Reactions
78 Replies
1K Views
Ifahamike siwezi kukataa mimba iwapo nilishiriki na mwanamke ngono zembe yaani bila puto. Ikitokea nikaambiwa moja kwa moja kuwa nina mimba yako nitalea na nimewahi fanya hivyo pasina shida...
17 Reactions
161 Replies
2K Views
kazi zetu hizi zinatufanya tuwaze sana na pia kusoma mawazo ya wengine sana sana ili kujenga parten fulani... katika baadhi ya paradox nilizowahi kuzifanyia utafiti wa kina ni pamoja na hizi...
4 Reactions
6 Replies
200 Views
ni gereji ya mtaani, sio kubwa sana, ni ukubwa wa kiwanja cha nyumba hivi karibuni nimejua mmiliki moja wapo wa hizi hereji ana maisha mazuri tu, watoto wake wanasoma shule private, ana nyumba...
3 Reactions
11 Replies
185 Views
Wakuu, Nimekutana na hii sauti Mtandaoni inayoumiza sana namna huyu mama anauchungu moyoni mwake, Iko hivi, tukisema turidhiane na kulipa fidia huu siyo uponyaji kwa Taifa na wakati wote hata...
2 Reactions
6 Replies
304 Views
Wakati mwingine naona watu wanapoteza muda sana kwenye comment za post za watu maarufu. Unakuta post ina comments elfu 10 au zaidi lakini bado mtu anaandika comment kana kwamba mwenye page...
3 Reactions
5 Replies
129 Views
Kutokana na ripoti mbalimbali kuonesha uwepo wa ongezeko la matukio ya ukatili dhidi ya watoto, Shirika Lisilo la Kiserikali la Macho Kwa Jamii ambalo linatetea haki na ustawi wa watoto kwa...
2 Reactions
1 Replies
133 Views
Kabla ya kufanya jambo lazima tujiulize kuna ulazima wa kufanya jambo hilo au ni WHITE ELEPHANT project ya kujijengea jina. Leo hii unataka kuvunja na kujenga Muhimbili upya. Sikatai kuwa baadhi...
1 Reactions
2 Replies
168 Views
Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!! 1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa...
3 Reactions
16 Replies
598 Views
Wajibu mkuu wa askari jeshi kwenye jamii ni kulinda katiba, mipaka ya nchi, na usalama wa wananchi pamoja na mali zao. Wanajeshi (kama vile wale wa JWTZ au majeshi ya ulinzi ya kikanda) wana...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki vimetakiwa kusimamia ukweli na kuepuka kujiingiza katika mtego wa kusambaza habari za uongo au zinazopotosha ukweli kwa maslahi binafsi na kutafuta umarufu wa...
2 Reactions
2 Replies
166 Views
Wakazi wa Sinza Madukani wanakabiliwa na kero kutokana na kuchelewa kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya kutoka Sinza Madukani kwenda Namnaan Hotel, baada ya barabara hiyo kuchimbwa na kuachwa...
0 Reactions
1 Replies
197 Views
Kuota ndoto kwa binadamu ni kawaida kabisa na kuna ndoto zitokanazo na rekodi ya ubongo ambazo hazina athari yeyote na si za kutilia maanani. Lakini kuna ndoto zingine hutakiwi kuzipuuza kabisa...
12 Reactions
42 Replies
902 Views
Mbona watu wa Dar muda wote wako mbiombio? Shida nini hasa? Ni kama wamekanyaga kaa la moto! Kifupi imenishangaza sana. Yaani muda wote watu wa Dar wapo resi. Kila mtu ni fulu mwendo. Utaona...
20 Reactions
51 Replies
2K Views
Back
Top Bottom