HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,448
- 6,211
HALIMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI.
MAPUNGUFU IDARA YA ELIMU MBARALI.
Nakumbuka mapema mwaka huu 2018 mkuu wetu wa mkoa kwa nia njema alisisitiza ushirikiano baina ya watumishi ili kuleta ufanisi kama ilivyo tokea 2017. Kwa matokeo ya wanafunzi darasa la VII.
Lakini Mbarali itatokea tofauti kwa mwenendo uliopo kwa baadhi ya Waratibu Elimu kata hususani kata ya Ubaruku.
Uratibu kwake ni Rungu la kukomoa watumishi wenzake. Anamawasiliano ya moja kwamoja na DEO na wanafanya maamuzi waonavyo wao mfano;
1: Alianza visa na M/Mkuu wa S/M Ubaruku baada ya kuona hakubaliani na yale aliyo kuwa anayataka ambayo yako nje na utaratibu wa kazi wakachukua jukumu la kumtoa nje ya kata shule ya pembeni na kata ya ubaruku.
2:M/Mkuu wa Shule ya msingi Mpakani alimkosoa Mratibu kitendo cha kuingilia majukumu akamtoa kwa kisingizio cha kigezo cha Elimu hali akiacha wengine walio anza na UPE wakati mkuu huyo ni Daraja la tatu A.
3: Na sasa anamtafuta mkuu wa S/Msingi Utiego kisa aliuliza utaratibu wa kuwatoa walimu kwa kasi hivyo.
4: M/Mkuu wa Shule ya msingi Mbarali naye yupo hatiani kwa visa wanavyo juana wenyewe, Pia kuna walimu wenye matatizo wanapo yapeleka kwake atakunyoshea kidole kisa yeye anamahusiano ya karibu na mme wa huyo mwalimu.
Uthibitisho wa hayo wasiliana nao kwa simu zao zinapatikana kwenye Ofisi ya DEO ama unaweza tuma uchunguze kwa kuwatumia
M/Kiti CWT (W )
M/Kiti MEKY (W)
TSD (W)
Ukaguzi (W)
Pia huwa anasumbua kwa baadhi ya walimu wanapo taka kuwa asaini Mihutasali yao anawataka watoe chochote ndipo aweze kusaini.
Tunaomba kwa heshima na busara ulizo nazo utusaidie kulifanyia kazi Asante.
Ni wako mtiifu na mtumwa mwaminifu asiye na ujira.
Sent using Jamii Forums mobile app