Inatosha kujenga mkuu... Lakini wakikuvamia majambazi usiku watakuuliza tukojelee nyumba ibomoke tuingie au utufungulie mwenyewe? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wadau habari za humu ,nina milion tatu na nusu dodoma mjini nahitaji kujenga chumba na sebule ,je itatosha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inatosha kujenga mkuu... Lakini wakikuvamia majambazi usiku watakuuliza tukojelee nyumba ibomoke tuingie au utufungulie mwenyewe? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kama kiwanja na materials kama mchanga kokoto na matofali vipo hiyo hela inatosha kabisa hadi kupauwa na bati na grill kabisa na kubaki kidogoWadau habari za humu ,nina milion tatu na nusu dodoma mjini nahitaji kujenga chumba na sebule ,je itatosha
Nimecheka asee em rudia tenaMmhh iv mfuko wa cement sasa iv ni sh ngapu??
DuuhWadau habari za humu ,nina milion tatu na nusu dodoma mjini nahitaji kujenga chumba na sebule ,je itatosha
Kwann mkuuNimecheka asee em rudia tena
Soma sentes yako hadi mwishoKwann mkuu
Hahahaaaha spelling error... Aya masimu yanatuàibishaSoma sentes yako hadi mwisho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inatosha kujenga mkuu... Lakini wakikuvamia majambazi usiku watakuuliza tukojelee nyumba ibomoke tuingie au utufungulie mwenyewe? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nimenunua mfuko wa cement Leo asubuhi 15000 acha tuMmhh iv mfuko wa cement sasa iv ni sh ngapu??