Mwili unauchawi gani?

Mwili unauchawi gani?

chumanile

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Posts
300
Reaction score
342
Habari wa kuu?hua najiuliza huu mwili una nini?na Kwa nini inatokea bira ya kujitaalisha?iweje ata ukimuangali mtu kwa jicho flani hivi hua anashikwa na woga,au kuogopa kabisa?iweje ujue kuna kitu nyuma wakati ujaangaria nyuma?nini kinakufanya uhisi kuna kitu kibaya kinatokea na kweli kinatokea?au miili yetu inauchawi ikiwa wenyewe hatujijui?nini kinatufanya tuwe hivyo?MWENYE ELIMU JUU HILI TUFAHAMISHE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom