Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,826
Nina hasira sana....sitosalimia maana naweza anza na tusi bure.
Kuna traffic officer hapa maeneo ya tabata reli kwenye njia panda ya kuingia tabata na barabara ya buguruni akili zake za kuazima kabisa....kudadadeki zake....
Yaani hii ni mara ya pili inatokea last week nilisimama katika foleni nikitokea ubungo, eneo la mwananchi hapa karibia na Azam media offices.....tuligandishwa kwa zaidi ya lisaa.....tokea saa kumi na moja na nusu tunaingia tabata saa moja kasoro....
Huyu traffic nahisi ana ajenda zake binafsi maana si kwa kutuweka hivi leo kwa mara ya pili tena nashuhudia huu ujinga.
Hivi hajui kuwa na sisi ni raia na tumechoka tunahitaji kuwahi majumbani hadi atuweke muda wote.....
Aisee huyu traffic anaboa sana.....muhusika wa kitengo cha traffic hebu shughulikia huu upuuzi usiwepo.
Nitakuja kumchapa makofi siku mshenzi kabisa huyu traffic.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app