Best home tutor
Member
- May 8, 2026
- 82
- 98
1. Jaji Warioba amesema kwamba hakubaliani na idadi ya vifo 518. Mzee Warioba anaamini vifo vipo zaidi ya vilivyotajwa na Tume.
2. Anasema ni kwlei tume ni ya Rais lakin ripoti ingewekwa wazi ili wadau watoe maoni.
3. Kama kuna watu wali organize Maandamano ya Oktoba 29 na nyumba zilizohusika zilikuwa hadi mita 10 kutoka kituo cha polisi anaamini vyombo vya usalama viko mbali na wananchi.
4. Suala la kuundwa tume nyingine kwenda kuchunguza ni Kama mbinu ya kuziba ziba mambo, maana polisi hawatapata ushahidi sababu wao ni watuhumiwa.
5. Anaamini wananchi wangeridhika Kama kuna watu wangewajibika na sio kuundwa tena tume nyingine.
6. Hana shida na wajumbe wa Tume sababu anawajua na amefanya nao kazi lakini shida yake ni Kama kumekuwa na jitihada za kuzuia watu kile kilicholetwa na tume.
7. Jaji Warioba anasema kwamba Takwimu zilizotolewa na TUME YA UCHAGUZI kwenye uchaguzi wa 2025 zilikuwa bandia, kwa anavyoamini yeye.
8. Anasema kwamba Tume ya Uchaguzi imetia aibu, na imeshiriki kuvuruga mchakato wa chaguzi za hivi karibuni.
9. Jaji Warioba anaamini kwamba Tanganyika ndio imegeuzwa kuwa Muungano, maana mambo ya Tanganyika yanaenda hadi Zanzibar, lakini ua Zanzibar Mtanganyika hahusiki. Hivyo anaamini Kama Rasmi ya Katibu mpya haitajibu suala la Muungano sawa sawa basi wananchi wanaweza kuukata.
10. Kwenye Bunge la Katibu walikuwa wanaelewana kila kitu lakini wakifika kwenye Suala la Muungano na Majukumu ya Rais basi mambo yanavurugika huko ndani.
11. Mzee Warioba anasisitiza kwamba katika vitu Vinatakiwa kulindwa kwa nguvu zote ni Muungano. Siku Muungano haupo basi kutakuwa na shida kubwa zaidi.
12. Mzee Warioba amekanusha zile taarifa za yeye kuwekwa “Under House Arrest” zilizozagaa mitandaoni.
👉🏻Kauli ipi ya Mzee Warioba unaungana naye au kumpinga?.