Podcast
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 842
- 1,032
Habarini wana jukwaa hapa leo nina swali huenda kwa wengine ikawa ni kichekesho ila kwangu itakuwa nimeelewa kitu.kwa mliowahi fika nje ya nchi kwa mfano Europe,Asia au USA.
Hivi mkiwa katika nchi hizo huwa mnabadili namba za simu au mnaendelea kutumia hizi hizi za bongo.na kama mnabadili je huduma zao ziko vipi tofauti na hizi za bongo....?
Hivi mkiwa katika nchi hizo huwa mnabadili namba za simu au mnaendelea kutumia hizi hizi za bongo.na kama mnabadili je huduma zao ziko vipi tofauti na hizi za bongo....?