Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. Kutoatoa sababu au kuwapa lawama wengine mambo yako yanapokwenda kombo. Utasikia mtu oh magufuri amebana, mimi nina mkosi. Hizi ni sababu za kitoto sana. Napenda tabia ya simba. Kuna wakati...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa kesi inayomkabili Mwanajeshi MT 109795 Private Ramadhan Mlaku (28) inasubiliwa ripoti ya mtaalamu wa milipuko ili kukamilisha upelelezi. Wakili wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau habari,nisiwachoshe sana,kama mnavyojua,watumishi wengi wa serikali hawana source B za vipato,serikali ndiye Boss Mkuu,sasa nimekaa nikawaza kwanini huyu Boss asimlipe kijakazi mshahara siku...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni miongoni mwa mashabiki wenu,Mara ya kwanza nimewaona mwaka 1992,ktk ukumbi wa Urambo hotel-urambo kiingilio kikiwa tsh.500 watoto na tsh1000 wakubwa,Kopa ulikuwepo hata hayati kapt Komba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo katika pita pita zangu hasa maeneo haya ya Sinza yaani nikaona kabisa wamemvamia jamaa hadi nikamuonea huruma yule mtu yaani wakawa manajipanga yule mtu anakagua mmoja badala ya mwingine na...
2 Reactions
53 Replies
6K Views
wazungu ndio wanatupa misaada tunawaita wafadhili,,,huyu ndiye anayetupa hela ya kujisaidia anatumia usafiri wa baiskeli,, sisi maskini akipita mfalme barabara zote zinafungwa mji unasimama eti...
1 Reactions
3 Replies
935 Views
HABARI ZEBU WANAJAMVI??? Kwa muda mrefu sasa nimekua nikisikia sikia tu kuhusu keko kwa ujumla wake,kata ya keko inapatikana wilaya temeke. Mtaa wa keko magurumbasi ndipo hupatikana kwa uraisi...
1 Reactions
108 Replies
21K Views
Elimu ni jambo njema sana. Linamfanya mtu kufungua ubongo wake kwa mapana. Hata hivyo elimu tu haitoshi linapokuja suala la uongozi. Katika qualities za uongozi bora elimu ya madegree na maPhDs...
1 Reactions
6 Replies
976 Views
Michael Nhonya (mnhonya) Tweeted: Naunga mkono hoja ya kupeleka watumishi wa kanisa kusoma kwanza kabla hawajaongoza Makanisa. Tunataka kuepukana na imani potofu. Ambazo nyingi husababishwa na...
0 Reactions
1 Replies
863 Views
Humu ndani hakuna maskini wakuu, humu hakuna mwenye njaa ya pesa ndogo ndogo , wote humu kweny akaunt tuna hela za kutosha sana, humu ukisema unamiliki vitz shauri yako mwenyewe na umaskini wako...
17 Reactions
187 Replies
10K Views
Ilikuwa ni asubuhi tulivu siku ya tarehe 23 .8. 2016 ulipo ondoka gafla baba yangu mpendwa na kutuachia huzuni kuu ndani ya mioyo yetu. Wanao wapendwa ni mwaka sasa tangu ututoke kila ni...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Maprofessor hupatikana baada ya msomi kuwa na shahada ya kwanza,ya pili na uzanifu,pia huteuliwa na bodi ya maprofessor kuwa professor baada ya kuandika marejeo kadhaa Ila kuna uhaba wa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli amekuwa chanzo cha vurugu za ardhi eneo la Makuyuni linalopitiwa na msongo mkubwa wa umeme 400Kv. Baadhi ya kuona wenye maeneo yanayopitiwa na umeme watalipwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau baada ya kukomaa na kuandika sasa nahitaj msaada wenu kwa MTU yoyote ambae anapicha za eneo hilo na mkodi anitumie, Nahitaji picha ambazo zitaonyesha mazingr ya ya nje Mazingr ya wa kazi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu nianze hivi, mimi miez kama mitatu imepita nlikuwa nakatiza kariakoo-mtaa wa Agrey na mshikaji wangu mara akapita binti mkali jamaa akanishtua nimwangalie ( kama ilivyo hulka ya wanaume...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Siku hiyo mume alirudi nyumbani ghafla huku akiwa anahema na kutokwa jasho alipofika nyumbani mke akamuuliza. “mmewangu mbona leo umerudi nyumbani mapema kulikoni kuna tatizo gani? “ Mme akajibu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tukio hili lilitokea mwishoni mwa miaka ya sabini katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Congo ambayo kwa wakati huo ilijulikana kwa jina la utani " nick name " la Zaire. Televisheni...
22 Reactions
102 Replies
15K Views
Kumekuwa na video inayo sambaa juu ya kibao cha alama za barabarani huko Rusumo - Ngara. Kwa uelewa wangu ile video ina potosha sana ukweli huyu mtu anaeongea hata hajuii nini maana ya kile kibao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau kwa anayejua sehemu chumba self contain kinapatikana Dodoma mjini, anijuze ni wapi pamoja na bei yake. Ahsante. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
799 Views
wadau kwa anayejua sehemu chumba self contain kinapatikana Dodoma mjini, anijuze ni wapi pamoja na bei yake. Ahsante. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Back
Top Bottom