R. I . P baba yangu

R. I . P baba yangu

Innocent Kirumbuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,647
Reaction score
4,495
f97cac8b83af7912044a5c86aec8b9c0.jpg

Ilikuwa ni asubuhi tulivu siku ya tarehe 23 .8. 2016 ulipo ondoka gafla baba yangu mpendwa na kutuachia huzuni kuu ndani ya mioyo yetu.

Wanao wapendwa ni mwaka sasa tangu ututoke kila ni kikukumbuka natokwa na machozi kwani ulikuwa mtu muhimu sana katika maisha yangu ila itabidi tushukuru kwa kila jambo.

Nakuombea kwa Mungu akupe pumziko la milele Amen
 
Waacheni wafu wapumzike.. kama pole ulishapewa mwaka huo..
 
Mungu ailaze roho ya baba panapostahili.

Sidhani kama "Rest In Peace" inafana sana. Kunakoitwa kwa amani, "Peace" tunapafahamu?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom