Hatari: Keko ni msitu wa majambazi,wezi na vibaka

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,217
HABARI ZEBU WANAJAMVI???

Kwa muda mrefu sasa nimekua nikisikia sikia tu kuhusu keko kwa ujumla wake,kata ya keko inapatikana wilaya temeke.

Mtaa wa keko magurumbasi ndipo hupatikana kwa uraisi gereza la keko.

Keko ina mitaa hatari sana hasa kwa wageni wanahamia maeneo hayo na wapitaji,keko mwanga,keko magurumbasi,molemo,belini,keko machungwa hii ni mitaa hatari sana kwani kupigwa roba ni nje nje.

Na kaa ukijua keko yote imekua na msisimko wa kujifunza ngumi kwasababu ndiko Familia ya Rashidi matumla ilipo na ndio familia pekee keko iliotoa wacheza ndondi wengi.

Nirudi sasa kwenye ukabaji, kimsingi hivi karibuni baada ya kuanza kufungwa kwa vituo vya polisi imekua nikero kwani wizi na ukabaji ni kila kona,hawa watoto wa mbwa wanatembea nane mpk ishirini na visu na mapanga.

Maisha ya wakazi wa keko ni kama nje ya Tanzania,kwani serikali za mitaa zipo lakini hakuna hatua zinazochukuliwa.

Na siamini kama kweli polisi wameshindwa kuwadhibiti vijana hawa,licha ya kwamba wakazi wa keko wao kwa wao wamekuwa wakiwafuga kwani ni watoto wanao juana.

Kilio cha wana keko ni kufunguliwa kwa kituo cha polisi ddc stand ambacho kilikua kinasaidia,doria zilikua zikfanyika kwa kiasi fulani ukabaji ulipungua,lakini sasa imekua fungulia mbwa.

ENEO HATARI SANA KWA SASA HIVI, NI BARABARA YA MTAA MREFU KAMA UNAENDA KEKO MWANGA,mtaa huo una bar moja inaitwa SAJA BAR HII HAINA TOFAUTI NA KIMBOKA YA BUGURUNI,kwani ina wasichana wadogo wadogo ambao huletwa kutoka mikoani na kuja kufanya kazi ya ukahaba,mmiliki wa bar hiyo huchukua elfu kumi kwa kila mwanaume atake mhitaji mwanamke kwenye bar hiyo,hayo maeneo yamekua ni kichaka cha wakabaji kuanzia saa nne hupiti kama si mwenyeji wa mtaa huo.

Polisi piteni huko watu wanaumia.

kama kuna watu IGP WANAPITA HUMU MWAMBIENI MKUU HUYO KUNA MAENEO YENYE UHALIFU MKUBWA VITUO VYA POLISI VIFUNGULIWE MASAA
24,

jana mbagala mida kama ya saa kumi hivi majambazi wamevamia benk na kuua ua ovyo,kama saa kumi watu wanapiga show hizo na kupotea wananchi tujiandae kwa hali hali hiyo

By zubedayo_mchuzi mzee kutembea umbali mrefu nimetembea nimeweka kambi keko yote.
 
HABARI ZEBU WANAJAMVI???

Kwa muda mrefu sasa nimekua nikisikia sikia tu kuhusu keko kwa ujumla wake,kata ya keko inapatikana wilaya temeke.

mtaa wa keko magurumbasi ndipo hupatikana kwa uraisi gereza la keko.

keko ina mitaa hatari sana hasa kwa wageni wanahamia maeneo hayo na wapitaji,keko mwanga,keko magurumbasi,molemo,belini,keko machungwa hii ni mitaa hatari sana kwani kupigwa roba ni nje nje.

Na kaa ukijua keko yote imekua na msisimko wa kujifunza ngumi kwasababu ndiko Familia ya Rashidi matumla ilipo na ndio familia pekee keko iliotoa wacheza ndondi wengi.

nirudi sasa kwenye ukabaji, kimsingi hivi karibuni baada ya kuanza kufungwa kwa vituo vya polisi imekua nikero kwani wizi na ukabaji ni kila kona,hawa watoto wa mbwa wanatembea nane mpk ishirini na visu na mapanga.

maisha ya wakazi wa keko ni kama nje ya Tanzania,kwani serikali za mitaa zipo lakini hakuna hatua zinazochukuliwa.

Na siamini kama kweli polisi wameshindwa kuwadhibiti vijana hawa,licha ya kwamba wakazi wa keko wao kwa wao wamekuwa wakiwafuga kwani ni watoto wanao juana.

Kilio cha wana keko ni kufunguliwa kwa kituo cha polisi ddc stand ambacho kilikua kinasaidia,doria zilikua zikfanyika kwa kiasi fulani ukabaji ulipungua,lakini sasa imekua fungulia mbwa.

ENEO HATARI SANA KWA SASA HIVI, NI BARABARA YA MTAA MREFU KAMA UNAENDA KEKO MWANGA,mtaa huo una bar moja inaitwa SAJA BAR HII HAINA TOFAUTI NA KIMBOKA YA BUGURUNI,kwani ina wasichana wadogo wadogo ambao huletwa kutoka mikoani na kuja kufanya kazi ya ukahaba,mmiliki wa bar hiyo huchukua elfu kumi kwa kila mwanaume atake mhitaji mwanamke kwenye bar hiyo,hayo maeneo yamekua ni kichaka cha wakabaji kuanzia saa nne hupiti kama si mwenyeji wa mtaa huo.

polisi piteni huko watu wanaumia.

by zubedayo_mchuzi mzee kutembea umbali mrefu nimetembea nimeweka kambi keko yote.
"Keko Magurumbashi, kuna wakabaji wanapiga ngumi zaidi ya bondia.."
 
Nakumbuka thomas mashali kabla ya kuingia kwenye ngumi alikuwa mkabaji Sana tena alikuwa na troops lake!ila mashali alikuwa anatoka tmk
Wezi wa tmk,keko,manzese wrote hawafai
 
Pamoja na hayo uliyoyasema yani angalau siku hizi ndo kuna afadhali majanki wengi wameshazikwa.nenda mpaka keko toroli uendelee kuona maajabu zaidi!wapo vijana flani wao huibadi maskani yao kwa jina LA keko empire majanki wamepotea kabisaa.
 
Unaweza ukazinguliwa na kisu chako kika kutumbua mwenyewe,. We chezea kina jet lee wa keko hao..
Labda kama uwe mzembe....kwanza wao wanavyokujia huwa hawajui kuwa una silaha hivyo wanajileta kama nyumbu....yaani wakikufikia tu wewd usifanye ajizi....mtumbukize mmoja wao kisu cha kwenye bega kishuke mpaka kifuani( lakini kiwe ni kitendo cha haraka sana)....yale makelele ya uchungu yatawafanya wenzzake wawe na uoga....
 
Pamoja na hayo uliyoyasema yani angalau siku hizi ndo kuna afadhali majanki wengi wameshazikwa.nenda mpaka keko toroli uendelee kuona maajabu zaidi!wapo vijana flani wao huibadi maskani yao kwa jina LA keko empire majanki wamepotea kabisaa.
Dah nakumbuka hapa kwenye magorofa ya NHC pembeni kabisa na wanapo tengeneza sofa Block C kulikua na braza mmoja anaitwa ZABLON ,na mdogo wake Sam mabraza hawa walikua wanapiga mkono balaa ,bifu la mdogo mtu alitifuana na Dame bills ,Kaseba enzi hizo anakuja kula kozi ya mateke kwa marehemu Zablon
 
Pamoja na hayo uliyoyasema yani angalau siku hizi ndo kuna afadhali majanki wengi wameshazikwa.nenda mpaka keko toroli uendelee kuona maajabu zaidi!wapo vijana flani wao huibadi maskani yao kwa jina LA keko empire majanki wamepotea kabisaa.

Duuuh!! pamoja na roba wanazokula wanavyuo kumbe kuna uafadhari!!!???
 
!
!
Hii ifungulie uzi wake maalum aisee. Ikikuwaje mkuu
Yaani mkuu unatakiwa ujiweke tayari kwa lolote lile na kwa wakati wowote ule.....

Siku niliyokabwa...ilikuwa mchana kweupe na watu wananitazama nikihangaika na roba....walivyomaliza ndio wananipa pole yaani ilibaki kidogo nimpe mmoja kofi....tangu siku hiyo sijawahi kutembea bila ya silaha....
 
Back
Top Bottom