wadau kwa anayejua sehemu chumba self contain kinapatikana Dodoma mjini, anijuze ni wapi pamoja na bei yake. Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
“I am coming soon. Hold on to the faith you have, so that no one can take away your crown. Those who win the victory will be pillars in the temple of my God.
I will make that happen for them...
Habari wanajamvi,
Kuna msanii nilianza kumsaidia kusimamia kazi zake kirafiki zaidi, ila sasa matunda yanaanza kuonekana. Wakati huo tulikua hatujaingia mkataba wowote, sasa tunataka kuingia...
Ukitaka kujua maana halisi ya siasa na uongozi na hasa unapokuelezea mtu anayekuwa na unafiki mwingi au wa kujipendekeza kujipendekeza muulize maswali haya machache
1. Swala la uchumi kukua
i...
Ofisa elimu sekondari wa Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Benjamin Siperato
Buchosa. Ofisa elimu sekondari wa Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza...
Wa jamvi habari za jioni hii; Kwanza nashukuru sikukuu ya idd imeisha salama salimini..
Naomba nianze na kastory kakweli halafu nitapenda ushari wa kisheria na mengineyo,,
Ilikuwa ni juzi j3 ya...
Tufanye tafakuri kidogo kwa jambo ambalo lilikua hot kwa miezi kadhaa siku za nyuma nadhani kuanzia mwaka 2016 hadi katikati mwa mwaka 2018 hili sio swala jingine Bali ni swala LA maiti za watu...
Wakuu nianze hivi, mimi miez kama mitatu imepita nlikuwa nakatiza kariakoo-mtaa wa Agrey na mshikaji wangu mara akapita binti mkali jamaa akanishtua nimwangalie ( kama ilivyo hulka ya wanaume...
Wakuu nianze hivi, mimi miez kama mitatu imepita nlikuwa nakatiza kariakoo-mtaa wa Agrey na mshikaji wangu mara akapita binti mkali jamaa akanishtua nimwangalie ( kama ilivyo hulka ya wanaume...
Ngara. Mahakama ya Wilaya ya Ngara mkoani Kagera imewahukumu raia wanne wa Rwanda kwenda gerezani miaka 20 kila mmoja, baada ya kukutwa na hatia ya makosa manne waliyotenda kwa kuingia nchini...
Tarehe 20/8/2018 mlikuwa na offer ya GB 1 na zaidi, leo mmeshageuka kama kinyonga MB 500 tena zenye mipaka.Hivi mnaijua thamani ya Tsh 1000/= kwa sasa au mnaona raha tu kuwageuza wateja...
Wa jamvi habari za jioni hii; Kwanza nashukuru sikukuu ya idd imeisha salama salimini..
Naomba nianze na kastory kakweli halafu nitapenda ushari wa kisheria na mengineyo,,
Ilikuwa ni juzi j3 ya...
Kuna kijana mtoto wa baba mkubwa kaja kunitembelea hapa nyumbani baada ya kumaliza form six wanasubilia selection za chuo ila huyu kafeli maana kapata four ya mwisho.Sasa nilichoudhika ni hili...
Wa jamvi habari za jioni hii; Kwanza nashukuru sikukuu ya idd imeisha salama salimini..
Naomba nianze na kastory kakweli halafu nitapenda ushari wa kisheria na mengineyo,,
Ilikuwa ni juzi j3 ya...
Wa jamvi habari za jioni hii; Kwanza nashukuru sikukuu ya idd imeisha salama salimini..
Naomba nianze na kastory kakweli halafu nitapenda ushari wa kisheria na mengineyo,,
Ilikuwa ni juzi j3 ya...
Nimeikuta chumbani kwa mdogo wang,alirud likizo kwasasa amerejea shuleni, , naomba mwenye kujua hii dawa kazi yake nini ,
Samahanini lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.