Natafuta picha za North Mara gold mining (Tarime)

sawe4u

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
973
571
Wadau baada ya kukomaa na kuandika sasa nahitaj msaada wenu kwa MTU yoyote ambae anapicha za eneo hilo na mkodi anitumie,
Nahitaji picha ambazo zitaonyesha mazingr ya ya nje
Mazingr ya wa kazi wanaozunguka maeneo hayo
Na mazingr yario athiriwa na uchimbaji

Note naomba picha hizo uwe ulipga direct na simu yako au camera yako (zisiwe za kwenye mitandao)

Ataweza nisaidia hili kama yupo site kbsa nitampa Kiasi cha usumbufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo lako ni nn mkuu baada ya kupata izo picha
 
Back
Top Bottom