Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,585
- 2,670
Leo katika pita pita zangu hasa maeneo haya ya Sinza yaani nikaona kabisa wamemvamia jamaa hadi nikamuonea huruma yule mtu yaani wakawa manajipanga yule mtu anakagua mmoja badala ya mwingine na anapapasa kabisa kama ile kitu ipo vizuri hadi nikasema ndo ishakua hivi siku hizi au ndo wateja wamepungua.
Kufika mbele nikawaona wengine wanapiga miayo kabisa nazani hata kula hawajala sasa hadi nikawa nawaonea huruma..
Ishu inakuja kuna wengine wadogo kabisa hadi napita najiuliza maswali mengi sipati jibu..sasa mijitu inapita inatomasa afu inasepa tu daah aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app