Waafrika wengi sana uwezu wetu wa kufikiri ni mdogo ukilinganisha na mataifa ya mabara mengine ulimwenguni na kama wapo wenye uwezo kufikiri wa juu basi ni wachache sana na hiyo imechangia sana...
Huu ni uzi maalum kwa vijana wa Mzumbe Sec tukumbushane mawili matatu na life lile venye tumeishi.
Swaga za DR Njawa kutukimbiza msituni kisa tumedoji paredi hilo pia msisahau
Da zawadi kantini...
Zipo sababu nyingi za ushoga..kwa kiasi kikubwa sayansi haijaweza kutuambia kisababishi cha mwanaume kutaka kuwa mwanamke.
Licha ya hayo yote zipo sifa zinazomtambulisha mwanaume na mwanamke...
DAR ES SALAAM:
Baada ya maneno mengi huku ndugu wa aliyekuwa mumewe, Amri Athuman ‘King Majuto’ wakidaiwa kumnyima huduma muhimu kama chakula, mjane wa mzee huyo aliyekuwa kinara wa vichekesho...
Wakuu kuna ndugu Yangu alikopa taasisi Fulani ya fedha inaanzia let sasa alifukuzwa Kazi anaweza kuendelea kudaiwa deni hata kama hajapata Kazi bado
muosha rungu
Kumekuwa na video inayo sambaa juu ya kibao cha alama za barabarani huko Rusumo - Ngara.
Kwa uelewa wangu ile video ina potosha sana ukweli huyu mtu anaeongea hata hajuii nini maana ya kile kibao...
Habari zenu wakuu? Kesho alfajiri nategemea kusafiri na gari ndogo private kutokea arusha kuelekea Dar, kama kuna mtu naye ana safari siku ya kesho sio mbaya tukiungana tukaenda pamoja tuchangiane...
Leo inaweza kuwa siku ya sita tangu mwanakijiji mmoja alipogundua dhahabu katika eneo la shamba lake. Dhahabu nayo haina siri muda mfupi tu baadae eneo hili la mwime ya ilindi watu wengi...
Kwa Karibu mwezi mzima kumekuwa na Habari ya Kitaifa kuhusu Kuzimwa kwa simu feki.
Tukapewa na namna ya kuzitambua hizo simu feki kupitia mfumo wa namba za IMEI (International Mobile Station...
Katika Maisha yetu hasa siye Waafrika waliotoboa Kimaisha na Wanaweza Kukabiliana Nayo ni wachache sana tena Sana wengine Tutaendeshwa na Uchumi tu, Dola ikishuka Na Wewe unashuka Kimaisha...
Jamani ukion wewe kila siku ni kufanya mapenzi na akili yako yote inafikiria mapenzi tu jua wewe ni mgonjwa. Nenda kawaone psychologist wakutibu kabla haujaamua kuishi na mwenza.
Sio kila siku...
Wakuu,
Napenda kutoa taarifa mapema kuwa kutakuwa na maboresho kadhaa ili kutekeleza baadhi ya maombi ya wadau na kurekebisha kasoro kadhaa katika tovuti na app yetu.
Aidha, baada ya utafiti...
Mkurugenzi wa halm ya Wilaya ya Kiteto, Tamim Kambona amesema, hospitali ya Wilaya ya Kiteto kukosa Machine ya Ultrasound ni kero na udumbufu kwa wananchi.
Amesema kwa kuona hali hiyo hawezi...
Leo nilikua naangalia ITV asubuhi, cha kushangaza yule mmama wa TCRA alikuwa anasema ikiwa simu yako itafungiwa kwa bahati mbaya, basi nenda kwa subscriber wa mtandao wako, nao watakufungulia...
Zuku tv na dstv, wamezuiwa kurusha matangazo nchini kwa kukiuka sheria pale wanapowataka wateja wao kulipia kifurushi ili waweze kuona pia FTA(free to air) channels, kwa nchi yetu wana maana ya...