Alama za Barabarani

uniq

JF-Expert Member
Nov 22, 2011
5,075
2,000
Kumekuwa na video inayo sambaa juu ya kibao cha alama za barabarani huko Rusumo - Ngara.
Kwa uelewa wangu ile video ina potosha sana ukweli huyu mtu anaeongea hata hajuii nini maana ya kile kibao.
Kuna vibao vya aina nyingi barabarani ambavyo Dereva anatakiwa kuwa makini navyo. Kuna vibao vya pembe Tatu na Duara, kuna vilivyo andikwa kwa wino mwekundu na mweusi. Vyote hivi vina maana yake na dereva anatakiwa kujua kama alikwenda shule ya udereva lazima uwe umefundishwa.
Kwenye video hii unaona kibao cha duara chenye maandishi meusi na mistari mitatu iliyokatisha.

Nini tafsiri ya alama hii, kwa wale wote wanaopita njia hiyo lazima wawe makini sana.

Kabla ya kibao hicho lazoma nyuma yake kutakuwa na kibao cha kukuonyesha kutembea 50km/h na unapo kutana na hicho kibao chenye rangi nyeusi na mistari mweusi iliyokata ujue kuwa inatakiwa kutembea kwa speed iliyoonyesha kwenye kibao na ile mistari ina simama kuonyesha umbali unaotakiwa kutembea kwa speed hiyo (distance). Kila mstari mmoja unaonyesha mita mia moja. Kwahiyo mistari mitatu ni mita mia tatu mbele.

Kwa hiyo kibao kipo sehemu sahihi kabisa na kinataka kila dereva kuendesha gari kwa speed ya 50km/h kwa umbali wa wa mita miatatu mbele baada ya hicho kibao.

Huyu ndugu alie rekodi hii vidieo anatakiwa kuelewa hilo. Pia nijambo la kushukuru sana kwa yeye kuleta hii hoja maana nina uhakika itasaidia sana uelewa wa hizi alama za barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,428
2,000
Kumekuwa na video inayo sambaa juu ya kibao cha alama za barabarani huko Rusumo - Ngara.
Kwa uelewa wangu ile video ina potosha sana ukweli huyu mtu anaeongea hata hajuii nini maana ya kile kibao.
Kuna vibao vya aina nyingi barabarani ambavyo Dereva anatakiwa kuwa makini navyo. Kuna vibao vya pembe Tatu na Duara, kuna vilivyo andikwa kwa wino mwekundu na mweusi. Vyote hivi vina maana yake na dereva anatakiwa kujua kama alikwenda shule ya udereva lazima uwe umefundishwa.
Kwenye video hii unaona kibao cha duara chenye maandishi meusi na mistari mitatu iliyokatisha.

Nini tafsiri ya alama hii, kwa wale wote wanaopita njia hiyo lazima wawe makini sana.

Kabla ya kibao hicho lazoma nyuma yake kutakuwa na kibao cha kukuonyesha kutembea 50km/h na unapo kutana na hicho kibao chenye rangi nyeusi na mistari mweusi iliyokata ujue kuwa inatakiwa kutembea kwa speed iliyoonyesha kwenye kibao na ile mistari ina simama kuonyesha umbali unaotakiwa kutembea kwa speed hiyo (distance). Kila mstari mmoja unaonyesha mita moja. Kwahiyo mistari mitatu ni mita mia tatu mbele.

Maelezo yako ni mazuri. Kwa wale ambao hawajaenda shule ya udereva, au walienda lakini walikuwa awafuatilii kilichofundishwa au wakufunzi wa shule walikuwa BOMU, hawataelewa maana ya hiyo alama.
Ila pia kuna mfundisho tofauti yanayo tolewa. Wengine na pia baadhi ya vitabu vinaonyesha kuwa ni mwaisho wa Amri inayokataza kuendesha zaidi ya kms zilizo andikwa kwa saa.
Jambo la muhimu ni kwamba dereva awe anajiongeza kama alivyo shauri huyo ndugu.
 
1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
4,995
2,000
Kumekuwa na video inayo sambaa juu ya kibao cha alama za barabarani huko Rusumo - Ngara.
Kwa uelewa wangu ile video ina potosha sana ukweli huyu mtu anaeongea hata hajuii nini maana ya kile kibao.
Kuna vibao vya aina nyingi barabarani ambavyo Dereva anatakiwa kuwa makini navyo. Kuna vibao vya pembe Tatu na Duara, kuna vilivyo andikwa kwa wino mwekundu na mweusi. Vyote hivi vina maana yake na dereva anatakiwa kujua kama alikwenda shule ya udereva lazima uwe umefundishwa.
Kwenye video hii unaona kibao cha duara chenye maandishi meusi na mistari mitatu iliyokatisha.

Nini tafsiri ya alama hii, kwa wale wote wanaopita njia hiyo lazima wawe makini sana.

Kabla ya kibao hicho lazoma nyuma yake kutakuwa na kibao cha kukuonyesha kutembea 50km/h na unapo kutana na hicho kibao chenye rangi nyeusi na mistari mweusi iliyokata ujue kuwa inatakiwa kutembea kwa speed iliyoonyesha kwenye kibao na ile mistari ina simama kuonyesha umbali unaotakiwa kutembea kwa speed hiyo (distance). Kila mstari mmoja unaonyesha mita moja. Kwahiyo mistari mitatu ni mita mia tatu mbele.

Kwa hiyo kibao kipo sehemu sahihi kabisa na kinataka kila dereva kuendesha gari kwa speed ya 50km/h kwa umbali wa wa mita miatatu mbele baada ya hicho kibao.

Huyu ndugu alie rekodi hii vidieo anatakiwa kuelewa hilo. Pia nijambo la kushukuru sana kwa yeye kuleta hii hoja maana nina uhakika itasaidia sana uelewa wa hizi alama za barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kumbuka kuna kibao cha kwanza chenye Mduara Mwekundu na alama 50KPH. Alama nyekundu kwenye kibao cha mduara ndiyo inayotumika kwenye vibao vya alama za Amri.

Mwanzo kuna kibao cha Amri ya kukataza kutembea zaidi ya 50KPH kimezungushiwa rangi nyekundu.
Kibao kitakachofuata kitakua na alama za mkato ambazo Mara nyingine ni mistari minne inategemea tu Mhandisi alitumia mistara mipana kiasi gani. Lakini Amri ili inafikia kikomo kwa kuandikwa na maandishi meusi .
Kwa hiyo unaposema kwamba ile mistari inaonyesha umbali unawachanganya watu mana kuna maeneo mengi sana vibao vya mwisho wa kutembea mwendo huo vimeandikwa na mistari zaidi ya mmoja.
Na kumbuka mwisho wa kibao cha amri huandikwa kwa rangi nyeusi.

Rangi ya Tahadhari/onyo au Amri inakua imezungukwa na rangi nyekundu na alama nyeusi.
Sasa hapo Ngara kibao hicho sio cha Tahadhari wala Amri mana hakina sifa ya kibao cha Amri au Tahadhari ambao ni kuzungukwa na alama nyekundu.

Tofautisha baa hizo unazosema za mistari na zile za Tahadhari eneo la Reli.
Zile za eneo la reli ni alama za Onyo/Tahadhati na zina sifa ile ya kuchorwa kwa kwa kuzungushiwa rangi Nyekundu.Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimekuelewa sana juu ya hilo ila hizo alama kwenye hicho kibao zipo na inatakiwa mbele baada ya hizo mita 300 kuwe na kibao cha kuonyesha ukomo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
17,937
2,000
Kumekuwa na video inayo sambaa juu ya kibao cha alama za barabarani huko Rusumo - Ngara.
Kwa uelewa wangu ile video ina potosha sana ukweli huyu mtu anaeongea hata hajuii nini maana ya kile kibao.
Kuna vibao vya aina nyingi barabarani ambavyo Dereva anatakiwa kuwa makini navyo. Kuna vibao vya pembe Tatu na Duara, kuna vilivyo andikwa kwa wino mwekundu na mweusi. Vyote hivi vina maana yake na dereva anatakiwa kujua kama alikwenda shule ya udereva lazima uwe umefundishwa.
Kwenye video hii unaona kibao cha duara chenye maandishi meusi na mistari mitatu iliyokatisha.

Nini tafsiri ya alama hii, kwa wale wote wanaopita njia hiyo lazima wawe makini sana.

Kabla ya kibao hicho lazoma nyuma yake kutakuwa na kibao cha kukuonyesha kutembea 50km/h na unapo kutana na hicho kibao chenye rangi nyeusi na mistari mweusi iliyokata ujue kuwa inatakiwa kutembea kwa speed iliyoonyesha kwenye kibao na ile mistari ina simama kuonyesha umbali unaotakiwa kutembea kwa speed hiyo (distance). Kila mstari mmoja unaonyesha mita moja. Kwahiyo mistari mitatu ni mita mia tatu mbele.

Kwa hiyo kibao kipo sehemu sahihi kabisa na kinataka kila dereva kuendesha gari kwa speed ya 50km/h kwa umbali wa wa mita miatatu mbele baada ya hicho kibao.

Huyu ndugu alie rekodi hii vidieo anatakiwa kuelewa hilo. Pia nijambo la kushukuru sana kwa yeye kuleta hii hoja maana nina uhakika itasaidia sana uelewa wa hizi alama za barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umenikumbusha na kunitamanisha safari zangu za kuendesha umbali mrefu. Nimepamiss Lushoto... Itabidi December hii nisababishe, namaliza gia zote 5 hadi gari inakuwa nyepesii.
Raha ya manual uzimalize gia zote.

Asante kwa maelezo matamu.
 
Mak Jr

JF-Expert Member
Nov 24, 2015
402
250
Nadhani alama hiyo iliwekwa kipindi cha nyuma ambapo makaz ya watu hayakuwa yamekua au kituo hicho cha forodha kuanza kufanya kazi kikamilifu.

Hivyo kuna haja ya tanroads kufanya mabadiliko na mapitio ya alama za barabarani mara kwa mara ili ziendane na hali halisi ya kimazingira kwa kipindi husika.
Mfano; apo icho kibao kinatakiwa kiondolewe na kuwekwa kibao cha tahadhar ya kupunguza spid pamoja na alama kuonyesha kuwa kuna mteremko mkali.

Hahaha umenikumbusha safari ya kutoka SA kuja TZ nilikuwa na gari manual 1.3 mpaka unakaonea huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uniq

JF-Expert Member
Nov 22, 2011
5,075
2,000
Nadhani alama hiyo iliwekwa kipindi cha nyuma ambapo makaz ya watu hayakuwa yamekua au kituo hicho cha forodha kuanza kufanya kazi kikamilifu.

Hivyo kuna haja ya tanroads kufanya mabadiliko na mapitio ya alama za barabarani mara kwa mara ili ziendane na hali halisi ya kimazingira kwa kipindi husika.
Mfano; apo icho kibao kinatakiwa kiondolewe na kuwekwa kibao cha tahadhar ya kupunguza spid pamoja na alama kuonyesha kuwa kuna mteremko mkali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kuelimisha wananchi kuacha kujenga makazi kwa kuifuata barabara. Inabidi tuwe kama nchi zilizo endelea. Kijiji kina kuwa mbali na barabara kuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wegman

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
1,064
2,000
Umenikumbusha na kunitamanisha safari zangu za kuendesha umbali mrefu. Nimepamiss Lushoto... Itabidi December hii nisababishe, namaliza gia zote 5 hadi gari inakuwa nyepesii.
Raha ya manual uzimalize gia zote.

Asante kwa maelezo matamu.

Nitakusindikiza ili nishuhudie utakavyokuwa unapanga na kupangua gia mubashara kabisa. Tena itapendeza safari ikiwa ndefu zaidi.
 
Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
17,937
2,000
Nitakusindikiza ili nishuhudie utakavyokuwa unapanga na kupangua gia mubashara kabisa. Tena itapendeza safari ikiwa ndefu zaidi.

Hahahaaaaa raha iliyoje..... Sina hiana Kasie mie, sema basi tupige trip ya wapi maana safari za mchana na usiku zote naweza.

Safari ndefu ndo zangu, ila ili usisinzie itabidi uwe unanisomea ramani, sawa?
 
Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Aug 23, 2015
1,962
2,000
Mkuu Kumbuka kuna kibao cha kwanza chenye Mduara Mwekundu na alama 50KPH. Alama nyekundu kwenye kibao cha mduara ndiyo inayotumika kwenye vibao vya alama za Amri.

Mwanzo kuna kibao cha Amri ya kukataza kutembea zaidi ya 50KPH kimezungushiwa rangi nyekundu.
Kibao kitakachofuata kitakua na alama za mkato ambazo Mara nyingine ni mistari minne inategemea tu Mhandisi alitumia mistara mipana kiasi gani. Lakini Amri ili inafikia kikomo kwa kuandikwa na maandishi meusi .
Kwa hiyo unaposema kwamba ile mistari inaonyesha umbali unawachanganya watu mana kuna maeneo mengi sana vibao vya mwisho wa kutembea mwendo huo vimeandikwa na mistari zaidi ya mmoja.
Na kumbuka mwisho wa kibao cha amri huandikwa kwa rangi nyeusi.

Rangi ya Tahadhari/onyo au Amri inakua imezungukwa na rangi nyekundu na alama nyeusi.
Sasa hapo Ngara kibao hicho sio cha Tahadhari wala Amri mana hakina sifa ya kibao cha Amri au Tahadhari ambao ni kuzungukwa na alama nyekundu.

Tofautisha baa hizo unazosema za mistari na zile za Tahadhari eneo la Reli.
Zile za eneo la reli ni alama za Onyo/Tahadhati na zina sifa ile ya kuchorwa kwa kwa kuzungushiwa rangi Nyekundu.Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli halafu jamaa analalama kuwa hakuna kibao tena mbele huko na kuna mteremko mkali! tanroad nao ni sehemu ya ushetan wa ajali
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom