Wapi kwa hapa Tanzania nitajifunza Illusion & Magic.

Wapi kwa hapa Tanzania nitajifunza Illusion & Magic.

Hii ukifanya kisomi ni fursa tosha, need years of practice to do it safe.
 
Usisahau na kujifunza yale mazngaombwe ya kutengeneza fedha maana hivi vyuma sio poa.

sent using samsung galaxy s8

Mkuu umenikumbusha Hivi wale jamaa waliokuwa wanakuja mashuleni kukusanya mia mia zetu na kufanya mazingaombwe bado wapo mbaka siku hizi??
 
illusion na magic ni ushirikina ni sawa tu na mchawi wa kawaida,duu aisee..
Karibu sumbawanga
tapatalk_1533702185839.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom