Kama ulikopa kwa dhamana ya mshahara

Kama ulikopa kwa dhamana ya mshahara

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,338
Wakuu kuna ndugu Yangu alikopa taasisi Fulani ya fedha inaanzia let sasa alifukuzwa Kazi anaweza kuendelea kudaiwa deni hata kama hajapata Kazi bado

muosha rungu
 
Kama ulikopa kwa dhamana ya hiyo taasisi, hiyo dhamana itaendelea iwapo tu watakuondoa wenyewe kwny taasisi hiyo bila masharti ya kulipa huo mkopo hapa namaanisha kosa lililokuondoa lisiwe ubadhirifu au wizi wa aina yoyote.
Ingawa taasisi nyingi zinakuwa kimya kwenye barua ya kuachishwa kazi na baadhi ya haki zingine unajikuta unapewa ingawa chanzo cha kufukuzwa ni ubadhirifu au wizi ndani ya taasisi hiyo, mwisho wa siku taasisi inahitajika ilipe ule mkopo kama wao ndio wadhamini.
Ukisoma ile barua ya udhamini ina kipengere kuwa ukifa mkopo utakufa, ukiachishwa taasisi italipa na ukiacha mwenyewe unahitajika ulipe mkopo huo kwasababu sio matarajio ya taasisi, ingawa wengi wanaingia mitini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudaiwa ataendelea kudaiwa, ila hiyo bank haiwezi ku enforce collection isipokuwa kwa proceeds zinazotokana na mshahara mfano michango ya pension... nk.
Labda kama atakuwa aliweka back up security eg kadi ya gari nk...
 
Mkuu taasisi nyingi za kifedha wanatoa mikopo yenye bima kwa waajiriwa.
Kufa ama kufukuzwa bima anasawazisha.
Kama ni kustaafu, wananyogoa hela yao kwenye mafao.
Hawezi kudaiwa nje ya ajira

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ila hao taasisi ya fedha walimpigia simu jamaa aanze kurudisha mkopo kwa kuweka kidogo kidogo japo hana ajira sasa jamaa anasema atapata wapi naye hana ajira,taasisi ikamwambia kama hataki kurejesha kwa hiari atalipa kwa nguvu,je wanaweza kumpeleka police

muosha rungu
 
Kama ulikopa kwa dhamana ya hiyo taasisi, hiyo dhamana itaendelea iwapo tu watakuondoa wenyewe kwny taasisi hiyo bila masharti ya kulipa huo mkopo hapa namaanisha kosa lililokuondoa lisiwe ubadhirifu au wizi wa aina yoyote.
Ingawa taasisi nyingi zinakuwa kimya kwenye barua ya kuachishwa kazi na baadhi ya haki zingine unajikuta unapewa ingawa chanzo cha kufukuzwa ni ubadhirifu au wizi ndani ya taasisi hiyo, mwisho wa siku taasisi inahitajika ilipe ule mkopo kama wao ndio wadhamini.
Ukisoma ile barua ya udhamini ina kipengere kuwa ukifa mkopo utakufa, ukiachishwa taasisi italipa na ukiacha mwenyewe unahitajika ulipe mkopo huo kwasababu sio matarajio ya taasisi, ingawa wengi wanaingia mitini

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante

muosha rungu
 
Sawa mkuu ila hao taasisi ya fedha walimpigia simu jamaa aanze kurudisha mkopo kwa kuweka kidogo kidogo japo hana ajira sasa jamaa anasema atapata wapi naye hana ajira,taasisi ikamwambia kama hataki kurejesha kwa hiari atalipa kwa nguvu,je wanaweza kumpeleka police

muosha rungu
Taasisi gani hiyo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo taasisi zenyewe ni walanguzi kuliko Maelezo hao kina Bayponga,Letishegodans na wengine na riba zao za 50%.Hawana cha kumfanya huyo ndugu yako au ww mwenyewe km ndo unagopa kusema tu coz alikopeshwa kwa dhamana ya ajira yake na makato yote ni kwenye mshahara hivyo wawe wapole tu awaambie akipata kazi ataanza kuwalipa ila kwa sasa hana hela.Hawana cha kumfanya wala pa kumpeleka.Jiamini we mwanaume bhana

Sawa mkuu maana wanamtisha sana ndugu Yangu hana raha

don't invest in a woman
 
Faidika au sijui letishego

don't invest in a woman
Kama dhamana ni ajira, hakuna kitu hapo wanaweza mfanyia! Taasisi zinazokopesha wafanyakazi, taratibu zao ni hizo hizo, tena mdhamini mkuu ni mwajiri.

Lakini kuna kitu nimefikiri, embu chunguza hao wadai. Isijekuwa mnahangaika na vishoka. Lifuatilieni suala hili kisheria. Sasahivi kuna utapeli wa kila kabila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asome masharti na vigezo kipindi anachukua ule vilikuwa vinasemaje in case anashindwa kulipa na hana ajira
 
Kama dhamana ni ajira, hakuna kitu hapo wanaweza mfanyia! Taasisi zinazokopesha wafanyakazi, taratibu zao ni hizo hizo, tena mdhamini mkuu ni mwajiri.

Lakini kuna kitu nimefikiri, embu chunguza hao wadai. Isijekuwa mnahangaika na vishoka. Lifuatilieni suala hili kisheria. Sasahivi kuna utapeli wa kila kabila.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu inawezekana ni wafanyakazi wa taasisi wanataka kuiba

don't invest in a woman
 
Jamaa kawaambia yupo tayari kwa lolote maana hana ajira atalipa vipi wao wamekazana alipe hata elfu 50 kwa mwezi kama ana biashara.

don't invest in a woman
Basi hapo ajue kuwa wanajaribubahati yap tu mpaka wanamwambia ajitahidi hata 50 kwa mwezi,yy awaulize wanamfundisha aanze wizi?ujambazi nk?awageuzie kibao kuwa atawapeleka mahakamani kuwa wanamshawishi kutenda nia Ovu.Hahahaha hela hii jamani dah..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi hapo ajue kuwa wanajaribubahati yap tu mpaka wanamwambia ajitahidi hata 50 kwa mwezi,yy awaulize wanamfundisha aanze wizi?ujambazi nk?awageuzie kibao kuwa atawapeleka mahakamani kuwa wanamshawishi kutenda nia Ovu.Hahahaha hela hii jamani dah..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli inasikitisha sana

don't invest in a woman
 
Back
Top Bottom