Kampani ya safari ya Dar kesho

Kampani ya safari ya Dar kesho

supercharger GT

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
1,024
Reaction score
1,981
Habari zenu wakuu? Kesho alfajiri nategemea kusafiri na gari ndogo private kutokea arusha kuelekea Dar, kama kuna mtu naye ana safari siku ya kesho sio mbaya tukiungana tukaenda pamoja tuchangiane na mafuta kidogo...kama uko interested bas karibu PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaelekea Dar ukitokea pande zipi? Taarifa zako hazijakamilika. Hongera kwa kuweza kusafiri na private car... Ni wachache wana weza kufanya hivyo...
 
389415.jpg

Uchangiwe mafuta?
 
Kwa hiyo usipopata MTU was kukuchangia mafuta huondoki!!??
Hapana mkuu haikuwa na maana hiyo, mafuta yapo kikubwa ni ile kampani tu, safari ya peke yako na ndefu namna ile inakuwa inaboa sana bora tuwe wawili au hata zaidi.....lugha ya kuchangia mafuta ni kwamba watu wengi wakipewa lift wanakuwa comfortable zaidi akichangia cost kuliko akipewa lift ya bure tu....inakuwa sio fresh mnavyokuza suala la mafuta...mtu mstaarabu anaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kosa lako ila Jiwe!! Inaonekana kusafiri na gari yako haijawahi kuwa tatizo ila sasahv ndo tatizo!! Vyuma!! Pesa hakuna!!! Kwanini usipande bus [emoji590], kitu Ngorika au Meridian!!! Fasta ubo Dar!! uki drive usisahau tochi na trafiki hakosi sababu ya kulamba 30 yako. Watengee na hela yao kabisa hao jamaa wa nyeupe!!!
 
Zipo Meridiani zinazotokea Arusha to Dar?
 
Back
Top Bottom